Nadhani anahisi hivyo, binafsi napenda binti awe ktk u-asili kimwonekano.Wewe umepata shida hiyo? I mean: are you so beautiful that men are afraid to approach you?
Wewe umepata shida
hiyo? I mean: are you so beautiful that men are afraid to approach
you?
Wewe umepata shida hiyo? I mean: are you so beautiful that men are afraid to approach you?
inawezekana ni 'mazungumzo' yako
hakuna mwanamke aghali kwa kuvaa tu
since kuvaa ni 'first thing' kwa wanawake
na wengine humaliza mishahara na kukopa na kuazima juu kwa kuvaaa
wanawake aghali utawajua kwa mazungumzo yao tu
ukinza taja taja 'watu na places za watu matajiri' tu
average guys wana sikia na kukaa mbali na wewe
mfano wikiendi hii uje 'makutano bar' for a drink..
we unasema ahh kwa nini usije lunch Kempisiki....lol
We wache tu wasije piga kelele, mana wengine tunapenda kula vanilla cake.hii thread hii itawaponza lol
wala i dont talk much n huwa sio mtu wa kuhang out sehemu za juu. Mie wa kawaida sana tu kwenye masuala hayo. I dnt knw why my looks deceive most of them.
me mwenyewe huwa nakutana na hyo dhahama. wanaume husema me najickia ,cjui wa gharama mara nipo matawi ya juu. lakn me ni wa kawaida sana. afu pia huwa wana kamsemo hv "mwanamke mzuri atakutia presha mara anatongozwa sana. mwanamke mzuri ni wa show off tu co wa kuoa" nashangaa sana!
yeah sort of. I jst kip myself smart and huwa siongei hovyo. Kinachoniudhi is judging a person b4 hujamjua vizuri n i get that a lot.bt once mtu akinizoea then ananiambia how he thot i was b4 knowing me.