beefinjector
JF-Expert Member
- Jul 23, 2009
- 2,827
- 2,832
How far have u gone to find out if GOD exist or not? from your request you better be an atheist because without adding believe you can't belong to any religious ethnic in this world. If you haven't find proof from the Bible then you will not find it anywhere... (#38 - #45) . Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa na hutapata maarifa kama hutaki kusoma na kupekua ili kujua ukweli..
nini unaamini kwa sasa yani still una abudu apo au? kama co atheist then unatafuta proof za existence of god ,umesimama wapi mkuu?
Unamaanisha nini unaponiuliza kuwa naamini nini? Mimi siabudu kitu chochote kwa sababu siamini kuwa binadamu ni lazima kuabudu kitu chochote. Suala la kuabudu ni suala la imani na la binafsi, kama unaamini unatakiwa kuabudu Jiwe, Ng'ombe, Jua, bahari, upepo n.k mimi sina tatizo, lakini ukiniambia kuwa ni lazima kila mtu aabudu kitu fulani sitakubaliana na wewe. By the way kutafuta proof kuwa kuna Mungu hakuhusiani na kuabudu.
ww ni atheist?
Hapana mimi sio atheist. Why?
upo kundi gani mkuu believer or not?
kuna makundi mawili wanao amini mungu na wasio amini ww upo wapi kati ya hayo makundi?
Tupo pia tusiojua kitu mkuu,..i,e hatujui kama Mungu yupo sababu hakuna uthibitisho na hatujui kuwa huyo Mungu hayupo pia sababu hatuna uthibitisho wa kupinga uwepo wake,...tupo neutral mkuu
hahaha iyo ni hatar better ufanye research na usimame sehemu unayoona sahihi mkuu
Zote nimezijaribu lakn zinapwaya mkuu,..nikaamua kutojua kitu_ila nafuu wasioamini kidogo wana hoja wanaoamini hawana kitu zaidi ya kuendeshwa na hofu ya kuchomwa moto
Zote nimezijaribu lakn zinapwaya mkuu,..nikaamua kutojua kitu_ila nafuu wasioamini kidogo wana hoja wanaoamini hawana kitu zaidi ya kuendeshwa na hofu ya kuchomwa moto
mkuu kwanini unatumia lugha mbovu ,hakuna sababu ya kufanya ivo bnaumedumaa kukua nini ? hoja zako hazionyeshi kubadilika kifikra. nani kakwambia wanaoamini uwepo wa Muumba wa Mbingu ardhi na vyote vilivyopo wanaogopa kuchomwa moto.
kubwa jinga hubadiliki nawe uwe japo na hoja. kila siku vioja !!! unabore Great sinker wewe
kuna makundi mawili wanao amini mungu na wasio amini ww upo wapi kati ya hayo makundi?
mkuu mie sipo kwenye kundi la wanaoamini mie siamini mkuuUlisahau kuni-quote nimechelewa kuona comment yako. Si kweli kwamba kuna wanaoamini na wasioamini pekee, tatizo lenu nyie mnaoamini mnadhani kuwa mtu asiye kwenye kundi lenu basi haamini. Kama IGWE alivyosema tuko watu ambao bado tunatafuta solid proof ya kuwepo kwa Mungu na sio kuaminishwa juu juu kama dini zinavyofanya.
Ulisahau kuni-quote nimechelewa kuona comment yako. Si kweli kwamba kuna wanaoamini na wasioamini pekee, tatizo lenu nyie mnaoamini mnadhani kuwa mtu asiye kwenye kundi lenu basi haamini. Kama IGWE alivyosema tuko watu ambao bado tunatafuta solid proof ya kuwepo kwa Mungu na sio kuaminishwa juu juu kama dini zinavyofanya.
Zote nimezijaribu lakn zinapwaya mkuu,..nikaamua kutojua kitu_ila nafuu wasioamini kidogo wana hoja wanaoamini hawana kitu zaidi ya kuendeshwa na hofu ya kuchomwa moto
umedumaa kukua nini ? hoja zako hazionyeshi kubadilika kifikra. nani kakwambia wanaoamini uwepo wa Muumba wa Mbingu ardhi na vyote vilivyopo wanaogopa kuchomwa moto.
kubwa jinga hubadiliki nawe uwe japo na hoja. kila siku vioja !!! unabore Great sinker wewe
Parcel wewe katika mijadala kuhusu Theist na Non theist umewahi kutana na utetezi wa Theist wakijitetea kwamba kuwa imani yao ni hofu ya kuchomwa moto ?mkuu kwanini unatumia lugha mbovu ,hakuna sababu ya kufanya ivo bna
Sawa mkuu nimekupataParcel wewe katika mijadala kuhusu Theist na Non theist umewahi kutana na utetezi wa Theist wakijitetea kwamba kuwa imani yao ni hofu ya kuchomwa moto ?
Kama hujawahi basi ukiamua kutaka watu watumie lugha ya staha ungeanza na huyo jamaa, kwa kuwa kama kuna kuchomwa moto kwa watu sidhani kama watachomwa kwa kuwa tu wameshindwa kujibu hoja za non theist.
Amini kwamba ukijenga hoja za staha utajibiwa hoja yako kwa staha.
tumefundishwa kumjibu mpum.bavu kadri ya upum.bavu wake ili asijeonekana mwenye hekima machoni pa watu.
Lakini pia tumeambiwa tumsimjibu mpum.bavu kwa upum.bavu wake.
kwa hiyo namna ya kujimbu mpum.bavu itategemea namna alivyotumia upum.bavu wake
mkuu mie sipo kwenye kundi la wanaoamini mie siamini mkuu
unataka uletewe mungu kwenye test tube ndiyo.uamini ?
au solid proof inafananaje ?