Why even light can't escape in black hole horizon?

Why even light can't escape in black hole horizon?

Light has a weight if you put in a scale kwhy nafkr swali lako limeishia hapa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Mbona kizembe sana....
 
Vijana bongo zinachemka, ingestahili m-buni project zenye malengo ya kuvumbua mambo mapya ya kurahisisha maisha chini ya ufadhili wa serikali.
Ndivyo wanavyofanya wenzetu wa mataifa tunayoita yameendelea. Wanajua siri kubwa iliyojificha ndani ya vijana na wanaitumia vilivyo.

Asilimia kubwa ya uvumbuzi/ugunduzi wa mambo mapya inafanywa na vijana. Hapa kwetu mmeachwa yatima msijue la kufanya...ila msife moyo kutapambazuka soon.
 
Nafikiri curvature ya spacetime inasababisha,still hata kwenye black hole mwanga unasafiri kwa speed yake lakin karibu na event horizon space inapindwa sana Hadi kufanya trajectory zote za mwanga kuelekea ndani tu.
 
Sema Kuna concept moja inayonichanganya,ni kwann mtu aneyafall inside a black hole anaonekana kama ameganda hasa anapokaribia event horizon kwa observe aliye mbali na black hole,wakati kiuhalisia anakua anafall tu kawaida!!!?
 
Sema Kuna concept moja inayonichanganya,ni kwann mtu aneyafall inside a black hole anaonekana kama ameganda hasa anapokaribia event horizon kwa observe aliye mbali na black hole,wakati kiuhalisia anakua anafall tu kawaida!!!?
Kumbuka kwenye black hole gravity ni kubwa sanaaa, Kwa maana ya kwamba space time inakuwa imebend sanaaa to infinity. Kama tunavyojua sehemu yenye gravity kubwa zaidi au black hole time inakuwa slow and slower zaidi kiasi kwamba kwa observer wa nje ataona Kama hausogei.

Na ukizidi kusonga zaidi, Kama ulitanguliza miguu maana yake miguu yako itakuwa Inavutwa kwa gravity kubwa zaidi kuliko kichwa, hivyo kufanya uvutike kuwa mrefu zaidi ma mwembamba zaidi kitendo kinachoitwa Spaghettification (kufananishwa na tambi zilivyo).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom