Why, earth moving machine has no suspension systems

Sikubaliani na hayo maelezo SABABU mfumo wa suspension unaanzia kwenye tyre

mfno tractor suspension yake inapatkana ktk tyre la Kati je ushawah kujiuliza kwann tairi la Kati la tractor lnajazwa 15psi? na sio 28au30psi kwenye magar ya kawaida?
 
Hakuna gari inayoweza kukimbizana na greda hata siku moja## I have operated gredar For 3 yrs I know each and everything about that machine
hapana greda haikimbii kihivyo mkuu.labda useme likiwa kazini kwenye vumbi
 
Hujawahi ona gredar inavyotembea
 

Angalia hio pic vzur that's what we call suspension kama unaswal uliza tuu
 

Hicho nlchozungushia rangi ndio suspension ya nyuma
 
mkuu kwenye dump truck na wheel loader zinaumiza sana mgongo na kiuno
 
Ndio mkuu znakimbia mfano pit iko mbal kdg Af haya ma machine yapo tofaut mengine yanakimbia mengine hayakimbii ila
Wheel loder inakimbia Sana Af greda pia
Ila diger /excavator you halkimbii kabisa an
bila shaka wewe ni miner au TX
 
Suspenshen zinafanya chombo kinanesanesa wakati kikiwa kwenye mwendo,chukulia tractor inapolima inahitaji majembe kujichimbia chini hivyo kunesanesa kutasababisha majembe kuachia ardhi na kushindwa kulima,huu mfano upo pia na kwenye mashine zote za ujenzi.pia matairi makubwa yanafanya kazi ya suspensheni ikiwa barabarani
 
Tz m naona mizinguo tuu jtahid utoke nje ya nchi ukale bata
 
Hydraulic system ni kwaajili ya kuset jembe kati na sio wheel systems
 
If suspension systems could be provided also shock absorbers must be fitted then it can face unnecessary bouncing because that machine\tractors,gredar, bull dozer\ uses abusive power when it's in the field
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…