ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,674
- 39,438
- Thread starter
-
- #41
AsalamalekooooAbeee!
Mpaka mmoja atokomee.Makubariano yenu yapo vipi ?
Kwamba mnachezeana hakuna future
Au huo muda mnaochezea una ruhusiwa ku cheat?
Hii ni maajabu
Mungu akulinde mkuuNiombee tu nisije jishindilia juice ya zabibu kutoka Idodomiya nikasahau simu.
π€£π€£π€£π€£ dogo umepiga cha wapi leo?Uzuri we mambo yako kimya kimya, endelea kuwaficha hao wastaafu wako wenye vipara.
Walekusalamuπ€£π€£Asalamalekoooo
Makubariano yenu yapo vipi ?
Kwamba mnachezeana hakuna future
Au huo muda mnaochezea una ruhusiwa ku cheat?
Hii ni maajabu
We hangaika na vizee ngoja siku uwe historia kabla siku yako haijafika.π€£π€£π€£π€£ dogo umepiga cha wapi leo?
Vizee gani tena jamani?We hangaika na vizee ngoja siku uwe historia kabla siku yako haijafika.
Wale unaowa-date.Vizee gani tena jamani?
Heh nilijua wewe ni church boyMpaka mmoja atokomee.
WowππSijawahi kucheat na sitomchit mke wangu
Babu unasema ππWe're not cheating, sijui kwa nini mnaita cheating! It's not cheating...
π π hivi huyu lol
Hovyoooo!We're not cheating, sijui kwa nini mnaita cheating! It's not cheating...