eti uliacha hadi koti lako kule LOL!!!!!!!!
Fide haikinitoshi kipapatio nataka paja mieeeeeee......maana yake nini
na soda ya kopo je???
Kaizer je kama wewe akiingia unamsahau leo namuuliza huyo kasepa....hahahaaa shauri yenu!! I warned you guys na staili za kina Masanilo
andastuud!lakini je,kinachomaanishwa?...Jamanieeeeeeeeee...... Tusikilizane!!!
Soda ya kopo ni soda ile ile ambayo iko kwenye kopo, kwanza huitaji kubeba chupa empty wakati wa kwenda kununua, halafu nyepesi, ujazo mdogo, halafu tamu... then ukifungua inafanya psiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.....
Kuhusu kipapatio na paja.... it's obvious kwamba kipapatio kina nyama kidogo wakati paja ndo kama hivyo....
Tumeelewana eeeeh?
Ataka kipapatio cha samaki
ukweli mtupu!This might be one of the reason!
Finding romance: It is no secret that woman love being romanced. Buying her flowers for no reason at all, sweeping her to an exotic locale for a romantic weekend, holding her and kissing her when she least expects it, and treating her like a 'special' person; that is what women are looking for. No, men don't have to be romantic every minute of every day, but if you haven't done anything romantic in God knows how long, well...your woman may just end up seeking romance elsewhere!
Wink.
This might be one of the reason!

andastuud!lakini je,kinachomaanishwa?...
duh!kazi ipo wakuu!HAYA MAPENZI NI KITU GANI?What if you do all the above and in return she pays you THIS;
6.Falling in love: Another main reason why women cheat is because they simply fall in love with someone else. Most Indian marriages are arranged marriages. Thus, if a woman finds her true soul mate after being married, she may enter into an extramarital affair with the man that she truly loves. And even if the first marriage was a love marriage, sometimes people just fall out of love with their partners and in love with someone else. This is not to say that being in love justifies cheating, but well... it happens
Kaizer je kama wewe akiingia unamsahau leo namuuliza huyo kasepa....hahahaaa shauri yenu!! I warned you guys na staili za kina Masanilo
Bwana Haruthi eeeh, I am under 18.... hata hivyo.... asiyejua maana.....
hehehe!hilo kanisa lako baba askofu sijui walikurithisha?...😀Bwana Haruthi eeeh, I am under 18.... hata hivyo.... asiyejua maana.....
hapa NOTED with many SENKSI!Credentials on the wall do not make you a decent human being
...
haaambiwi maana watu wanakutafita uchokozi baba askofu!
in most cases!....Hivi Askofu ni lazima awe BABA?
hehehe!hilo kanisa lako baba askofu sijui walikurithisha?...😀!
Hivi Askofu ni lazima awe BABA?
yeeah,, kwen kanisa letu, askofu ni baba..mchungaji, na hatuna utamaduni wa kuwa nahata mapadre wanawake sembuse maaskofuHivi Askofu ni lazima awe BABA?
hahaha Chrispin off Topic hiyo picha ndo ile uliyopiga kwenye nyumba yako pale kijijini siku ya valentine ??