Why do women cheat...

Kicheche maana yake nini? Maana vicheche nivijuavyo mimi ni vile vimdudu....nilikuwaga naviwinda hivi wakati niko dogo....

shem hawa ni 'vuruka njia'

leo na huyo, kesho yule na mtondogoo mwingine.
life goes on
 
Kukamilisha my post #17

Julius said:
Women are like buses. Miss one and there is another one coming....

Na hilo ndilo tunahita "Fill the GAP"!
 
shem hawa ni 'vuruka njia'

leo na huyo, kesho yule na mtondogoo mwingine.
life goes on

Sasa si bora uruke njia ukiwa single kuliko ukiwa kwenye relationship na mtu unayesema unampenda? Au?
 
Sasa si bora uruke njia ukiwa single kuliko ukiwa kwenye relationship na mtu unayesema unampenda? Au?
dah sasa mbona hamna bora??? kuruka njia ni kuna hasara na pia kumsaliti menzio ni mbaya!!!!!!!!!
 
We FL1, dear CARMEL, hiyo ya sita mwenzi wako ataizuia vipi........???
 
dah sasa mbona hamna bora??? kuruka njia ni kuna hasara na pia kumsaliti menzio ni mbaya!!!!!!!!!

Mimi nazungumzia ktk muktadha wa udanganyifu na kumwangusha mwenzio. Lakini kama umeamua kuruka njia na uko mwenyewe tu na uko upfront na nini unataka, sioni ubaya wowote hapo. Kama mtu hataki kujihusisha na wewe poa tu. Akiamua kujihusisha na wewe anajua nini what's up. Ila sio kumdanganya mtu kuwa unampenda halafu unacheat. Ni bora mtu aniambie ukweli tokea mwanzo kuliko kuja kugundua baadae kuwa alikuwa ananidanganya tu. Honesty is the best policy.
 
Mwanume akicheat, ni shetani kampitia, mwanamke akicheat ni kicheche. Na wanawake wenyewe wanabuy hiyo myth.

Mtoto wa kike ukijisikia kujirusha ili kujiridhisha kimapenzi, jirushe.

Tena ukijua mwenzio kacheat huna hata haja ya kumuuliza au kupigana ngumi na mgoni wako. Mpigie simu mwanaume mwingine anayekujali na unayempenda (ambaye kila siku unajizuia kujirusha naye as you are in a relationship with someone who takes you for granted).

Jipe raha mwenyewe.
 
ni uzinzi wao tu!

Ebwana pape umeongea kweli sometimes ni tamaa zao tu. Kumtimizia mambo yote hayo issue na usawa huu wa maisha ni ngumu sana, lazima tu kuna sehemu utateleza na hapo ndio mambo yanapoanza.

Lazima uzidiwe kete
 

hivi mwanamke anakubalije kuambiwa eti tuna-buy time tu hapa hakuna strings attached? (najua wapo lakini huwa najiuliza ni kwa nini wafanye hivo)

labda ndo maana wanaume huwa wanaamua kutudanganya ili tuingie laini na kumbe wao hata hawana mpango na sisi..... (sijui hata kama nipo on truck au ndo nimeenda ofu topiki shemeji aaah)!!
 

Unajua nini shem? Hii dhana nzima ya mahusiano ni utapeli mtupu. Nasema ni utapeli kwa sababu binadamu hatuaminiki na tuko wadanganyifu kiasili. Ila mwisho wa siku ni uamuzi wa mtu binafsi kujiingiza ktk mahusiano ya kimapenzi na mtu mwingine au la...
 

uridhie kudanganywa au lah!!! pagumu hapo!!!
 
Ndio maana ni bora kuwa single. Ukiwa single wasiwasi wa kubiwa na mwenzako haupo na maisha ni raha mustarehe

Kaka kuwa single maisha yote nayo issue.. Mungu hakuumba hizi jinsia mbili for no reason. Nafirikiri wanatuhitaji na tunawahitaji pia.

Nadhani familia au kuwa na mke kunamfanya mwanaume akue kimawazo. Angalia mtu aliyefika 45 yrs lkn bado single utakuta anakasoro fulani hivi anaweza kuwa mlevi sana, ana maongezi ya ovyo ovyo , n.k

Japokuwa ni kuna stress ni bora kuoa tu....

Akikucheat ni kumsamehe au kumwacha. Hakuna cha kipigo wala nini maana hiyo sio solution huenda ikaongeza kiwango chake cha ufanisi ktk kucheat.
 

To each his own.
 
Hivi kwa nini humu kila siku kuna mada mpya inayohusu cheating?
 
uridhie kudanganywa au lah!!! pagumu hapo!!!
When times come hutahisi kama unadanganywa....ndo maana Julius kasema it depend on your decision if u want relationship or not na kama unataka kua na raha just trust your man/woman!!
 
Hivi kwa nini humu kila siku kuna mada mpya inayohusu cheating?

shemeji ndo yanayojiri haya!!! these things keep pushing me away, karibu nahamia 'misheni'........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…