nimeshindwa leo siku nyingine ndo ntaweza kweli.....ngoja tu nijifanye sikuwa na mpango huoJaribu siku nyingine. Si leo!
Askofu ni baba tu.... Kaizer is very right!!
nimeshindwa leo siku nyingine ndo ntaweza kweli.....ngoja tu nijifanye sikuwa na mpango huo
Pale cape town wapwa nilikula macho ya samaki kama nipo Chuda vile.
Naikumbuka ile PM ya pale! Dah!
HAPA TUNAJADILI UCHUNGAJI,UTUME,UASKOFU N.K!habari za ku-cheat baadae.
nitarudi
Umepata wito?
Askofu ni baba tu.... Kaizer is very right!!
Askofu ni baba tu.... Kaizer is very right!!
waambie hawa kizazi cha nyoka!
si anao wa ulei tena kaitikia jmosi ilopita tu!!!
khe binamu basi tumekosa loh!!!
hilo neno kali!!!
Bado yuko kwenye Probesheni
Baba askofu nahitaji upako tafadhari
Bado yuko kwenye Probesheni
ndo umenikumbusha mbali sana when u said tht!!Pole B wala sio wewe...wapo na wanajijua tu,,,, hulifahamu hilo neno B? sande skuli?😀
Neema za bwana zinaanza kuonekana. Karibu hekaluni mwa bwana
Amen jina la bwana lihimidiwe!!
Naweza kukusanya kondoo nikachagua walio nona?
Amen jina la bwana lihimidiwe!!
Naweza kukusanya kondoo nikachagua walio nona?