Kuna jamaa yangu DR Mambo Jambo huwa simwoni kapotea kitambo sanaNaam mkuu,mwenyewe sikuwa natumia hii ID those days..ilipata hitilafu fulani..napambana ziunganishwe. Karibu mkuu tuendeleze mapambano ya kujitambua kwa njia ya meditation &Yoga
Sawa numekuelewa mkuu, wacha niwe serious aisee!!🤦🏽♀️Mkuu,naomba ujitume..source ya kufanikiwa kwenye hii safari ya kuelewa haya masomo ni kujituma..
Nlikuambia lengo,la mimi kukupatia ile task..
sahihi kabisaUgumu wa hyo ngoma,unabadilisha hata DNA ili hyo laana isambae kizazi kimoja mpaka kingine...
Uzuri wake ukisha ivunja kwa usahihi,hata zile DNA huchange pia..hivyo kizazi kinacho fuata hakitakuwa na zile chembe chembe za laana,maana zimeshafutwa kuanzia kwenye DNA. Cc Seran
View attachment 3556333
mkuu yoga na meditation sio rahisi kufungua hiyo code ya laana kizazi hadi kizazi ni damu ya yesu na sadaka tu ndiyo inayoaeza kama agano jipya linavyotaka ,agano la kale walivunja hizo code kwa kuvunja madhabau na kujenga madhabau mpya ya MunguMKuu unajua nini,watu huleta confusion..kwenye kuvunja Generational Curses,huamini akiombewa na mchungaji ama akikesha kuomba atavunja..kwanza inabidi watu wafahamu laana ni imprints zipo kwenye DNA,na tukumbuke DNA ndizo hushawishi outcome iwe ya aina gani...
Hivyo kama umebeba zile chembe chembe kwenye DNA,tunategemea ufanye juhudi fulani(Yoga&Meditation)..hyo pekee ndo njia ya kubadilisha zile DNA..hyo imekuwa proved hata kisayansi..huwezi kubadilisha kwa kuomba ama kuombewa. Hyo pain ya ku release hizo dark energy lazima uzifeel.
Bahati mbaya sana jamii ya kilokole kwa Tanzania ndio kati ya jamii ya watu wenye matatizo mengimkuu yoga na meditation sio rahisi kufungua hiyo code ya laana kizazi hadi kizazi ni damu ya yesu na sadaka tu ndiyo inayoaeza kama agano jipya linavyotaka ,agano la kale walivunja hizo code kwa kuvunja madhabau na kujenga madhabau mpya ya Mungu
mfano huu hapa
Mwanzo 8:20-21
20 Nuhu akamjengea Bwana madhabahu; akatwaa katika kila mnyama aliye safi, na katika kila ndege aliye safi, akavitoa sadaka za kuteketezwa juu ya madhabahu.
21 Bwana akasikia harufu ya kumridhisha; Bwana akasema moyoni, Sitailaani nchi tena baada ya hayo kwa sababu ya wanadamu, maana mawazo ya moyo wa mwanadamu ni mabaya tangu ujana wake; wala sitapiga tena baada ya hayo kila kilicho hai kama nilivyofanya.
ulokole ni nini mkuu?😂😂Bahati mbaya sana jamii ya kilokole kwa Tanzania ndio kati ya jamii ya watu wenye matatizo mengi
mauti na uzima huwa katika uwezo wa ulimi na wote waupendao watakula matunda yake,amini unachokiamini mkuuBahati mbaya sana jamii ya kilokole kwa Tanzania ndio kati ya jamii ya watu wenye matatizo mengi
Sawa.mkuu yoga na meditation sio rahisi kufungua hiyo code ya laana kizazi hadi kizazi ni damu ya yesu na sadaka tu ndiyo inayoaeza kama agano jipya linavyotaka ,agano la kale walivunja hizo code kwa kuvunja madhabau na kujenga madhabau mpya ya Mungu
mfano huu hapa
Mwanzo 8:20-21
20 Nuhu akamjengea Bwana madhabahu; akatwaa katika kila mnyama aliye safi, na katika kila ndege aliye safi, akavitoa sadaka za kuteketezwa juu ya madhabahu.
21 Bwana akasikia harufu ya kumridhisha; Bwana akasema moyoni, Sitailaani nchi tena baada ya hayo kwa sababu ya wanadamu, maana mawazo ya moyo wa mwanadamu ni mabaya tangu ujana wake; wala sitapiga tena baada ya hayo kila kilicho hai kama nilivyofanya.
Mkuumkuu yoga na meditation sio rahisi kufungua hiyo code ya laana kizazi hadi kizazi ni damu ya yesu na sadaka tu ndiyo inayoaeza kama agano jipya linavyotaka ,agano la kale walivunja hizo code kwa kuvunja madhabau na kujenga madhabau mpya ya Mungu
mfano huu hapa
Mwanzo 8:20-21
20 Nuhu akamjengea Bwana madhabahu; akatwaa katika kila mnyama aliye safi, na katika kila ndege aliye safi, akavitoa sadaka za kuteketezwa juu ya madhabahu.
21 Bwana akasikia harufu ya kumridhisha; Bwana akasema moyoni, Sitailaani nchi tena baada ya hayo kwa sababu ya wanadamu, maana mawazo ya moyo wa mwanadamu ni mabaya tangu ujana wake; wala sitapiga tena baada ya hayo kila kilicho hai kama nilivyofanya.
siamini katika neno ulokole maana kila mtu anaweza kuwa mlokole ila sio kila mtu anaweza kuwa mcha Mungu, elewa kaka hakuna aliemcha Mungu na akapotea elewa hivyo,ulokole ni fashion tu na wokovu sio wa kila mtu so ukiona mtu ana Mungu na bado anateseka basi kuna sehemu anakosea,mimi mbona sina hizo shida usiamini kwa kila kitu unachokisikia amini kwa kila kitu unachokiishi🙏Bahati mbaya sana jamii ya kilokole kwa Tanzania ndio kati ya jamii ya watu wenye matatizo mengi
Mkuu sijasikia , nimezunguka sana mikoa ya Tanzania popote palipo na walokole pamezungukwa na umaskini, wewe hauwezi niambia siku 5 za wiki unashinda kanisani ukiomba tu ukafanikiwa , hiyo haijawahi tokea kamwesiamini katika neno ulokole maana kila mtu anaweza kuwa mlokole ila sio kila mtu anaweza kuwa mcha Mungu, elewa kaka hakuna aliemcha Mungu na akapotea elewa hivyo,ulokole ni fashion tu na wokovu sio wa kila mtu so ukiona mtu ana Mungu na bado anateseka basi kuna sehemu anakosea,mimi mbona sina hizo shida usiamini kwa kila kitu unachokisikia amini kwa kila kitu unachokiishi🙏
Haya ni maneno ya kiimani ambayo yanapatikana katika dini moja na kuna ma elfu ya dini , hili neno lina maana kwa wanao amini tumauti na uzima huwa katika uwezo wa ulimi na wote waupendao watakula matunda yake,amini unachokiamini mkuu
Na kuvunja madhabahu ni kubadili fikra na mawazo kupitia meditation, madhabahu ni mwili wako na huwezi badili chochote kwenye mwili bila meditation, ndio maana meditation ina change mpaka DNA Iceberg9Mkuu
Hiyo meditation ndio sadaka safi na kamili
nieleze vizuri mkuu sijaelewa kuwa meditation kuwa sadaka? sio kama nakata mdeitatition ni tiba hapana, ila ni tiba ya kujiweka sawa kwa muda tabia ,meditation ni rehabilitation hiyo,sasa rehabilitation ni nini?Mkuu
Hiyo meditation ndio sadaka safi na kamili
nieleze vizuri mkuu sijaelewa kuwa meditation kuwa sadaka? sioingi kama mdeitatition ni tiba ili ni tiba ya kujiweka sawa kwa tabia ambazo ni chukizo ni rehabilitation hiyo,sasa rehabilitation ni nini?Mkuu

Kuna kitu bado haujakijua , endelea kujiellimishanieleze vizuri mkuu sijaelewa kuwa meditation kuwa sadaka? sioingi kama mdeitatition ni tiba ili ni tiba ya kujiweka sawa kwa tabia ambazo ni chukizo ni rehabilitation hiyo,sasa rehabilitation ni nini?
Rehabilitation is the process of helping individuals regain, maintain, or improve physical, mental, or cognitive abilities lost due to injury, illness, or disability, aiming to restore maximum independence and quality of life
hiyo ndiyo maana halisi lakini kilicho kwenye mada hapa tunaongelea laana zitokanazo na ukoo toka kwa baba mzaa babu,kwa babu alimzaa baba yako ksa pande zote mbili baba na mama yako yani hile chain ambayo itaenda kwa watoto wao,wajukuu na kizazi mpaka kizazi ni kitu kitakachotembea kizazi chote,hiyo meditation itafsnyaje kitu kilichorithishwa tangu enzi na enzi,
mfano utajitibu sawa kwa meditation kitu ambacho sio kama unapona nikujidanganya tu, mdau hapo min -me amesema alifanya meditation ikamsaidia ila tabia zikarudi kama zilivyo,hapo unakua hujatatua chanzo halisi cha tatizo ,sasa unakua unajipa hope umepona lakini bado,kuvunja hiyo curse sio jambo dogo kama mnavyosema ila ni nyepesi ukitumia DAMU YA YESU inayonena mema kuliko ya Abeli
Soma historia ya wa Tibetnieleze vizuri mkuu sijaelewa kuwa meditation kuwa sadaka? sioingi kama mdeitatition ni tiba ili ni tiba ya kujiweka sawa kwa tabia ambazo ni chukizo ni rehabilitation hiyo,sasa rehabilitation ni nini?
Rehabilitation is the process of helping individuals regain, maintain, or improve physical, mental, or cognitive abilities lost due to injury, illness, or disability, aiming to restore maximum independence and quality of life
hiyo ndiyo maana halisi lakini kilicho kwenye mada hapa tunaongelea laana zitokanazo na ukoo toka kwa baba mzaa babu,kwa babu alimzaa baba yako ksa pande zote mbili baba na mama yako yani hile chain ambayo itaenda kwa watoto wao,wajukuu na kizazi mpaka kizazi ni kitu kitakachotembea kizazi chote,hiyo meditation itafsnyaje kitu kilichorithishwa tangu enzi na enzi,
mfano utajitibu sawa kwa meditation kitu ambacho sio kama unapona nikujidanganya tu, mdau hapo min -me amesema alifanya meditation ikamsaidia ila tabia zikarudi kama zilivyo,hapo unakua hujatatua chanzo halisi cha tatizo ,sasa unakua unajipa hope umepona lakini bado,kuvunja hiyo curse sio jambo dogo kama mnavyosema ila ni nyepesi ukitumia DAMU YA YESU inayonena mema kuliko ya Abeli
Mkuu sijasikia , nimezunguka sana mikoa ya Tanzania popote palipo na walokole pamezungukwa na umaskini, wewe hauwezi niambia siku 5 za wiki unashinda kanisani ukiomba tu ukafanikiwa , hiyo haijawahi tokea kamwe