kabisa, ni kama unatunza taarifa zote na pindi utapopata jambo unarefer taarifa kwamba kama likitokea jambo hili huwa tunafanya hivi na hiviUbongo wa binadamu hujifunza kwa haraka sana vitu vilivyo karibu yake, na kutoa maamuzi kwa uzoefu wa nyuma.
Ubongo unatunza sana taarifa na kuzitumia kwenye maisha ya kila siku , mimi ndio maana napenda sana kufanya meditation🤔kabisa, ni kama unatunza taarifa zote na pindi utapopata jambo unarefer taarifa kwamba kama likitokea jambo hili huwa tunafanya hivi na hivi
inasaidia ku asses kumbu kumbu zako na kuwa aware pale jambo linapotokea unakuwa una amuru ubongo na sio vinginevyoUbongo unatunza sana taarifa na kuzitumia kwenye maisha ya kila siku , mimi ndio maanag napenda sana kufanya meditation🤔
Yeah bila kufanya meditation kuna maamuzi mengine unakuta unapelekwa pelekwa na ubongo bila hata kupendainasaidia ku asses kumbu kumbu zako na kuwa aware pale jambo linapotokea unakuwa una amuru ubongo na sio vinginevyo
Why do i find generation patterns scary!!?
Tell me why we repeat same cycles from every now and then its like same script plqyed by different people,,,.....
Mfano.... if one is raised in an emotionally unvailable family attrcts emotionally unavailable partner,🤔and the cycle continues
Kwa mwanaume kama baba yake alikuwa hatunzi familia uwezekano wa yeye kutotunza yake ipo juuu au kuwa mlevi au malaya,
Sawa ancestors are living in us tumekubali they continue to live through us and cycle continue when we fail to break them from time to time....
We have to break the cycles because it heals your entire lineage, past, present and future but how can we break them?????
Its hard and takes time
Ive come to realize we dont choose whats good for us bt what we are familiar with probly because of repeated cycles
Anyway tuishi tu ...
Born to suffer
👏👏👏Our brains are wired to prefer what is familiar over what is healthy. Ulivyokuzwa utotoni ndiyo inashape attachment styles, how we love, regulate emotions, behave, work, and define what is acceptable or not. Vitu vichache sana hasa vya kitabia na kihisia tunajifunza ukubwani.
Kama umekulia mazingira ambayo siyo mazuri, step ya kwanza ni awareness; mfano “mzazi wangu ambaye hakunilea, hakua mtu mzuri na mimi inabidi nijitahidi kutokua kama yeye" watu wengi huwa hawafiki hapo, watalaumu kidogo, halafu wanaona sawa tu, mbona wameishi.
Mtu kama huyu na yeye anaenda kuzalisha watoto na mama tofauti na watoto wanakaa kwa mama zao labda anawaona mara moja kwa mwaka au pale anapoweza. Akijitahidi kuwa tofauti na baba yake, basi atatuma pesa za matumizi kwa watoto na atajiaminisha hapo yeye amelea kikamilifu na inatosha kabisa. Why? possibly kwa sababu hajawahi kuona mfano wa malezi bora ya present father inabidi aweje au anafikiri kama mama yake aliweza kumlea, basi na hata hawa wanawake wengine watalea tu hao watoto wake.
Breaking patterns requires conscious effort to unlearn harmful behaviors and consistently practice healthier ones, sometimes that means kuwacut off watu au family members wanaokutrigger au kukufanya urelapse kwenye old patterns (ndugu, marafiki, wapenzi etc.).
Many of us avoid that difficult work (often subconciously) and instead cope by telling ourselves that “if those before us survived these patterns, we will too”.
ni kweli unachosema ma mchungaji ipo hivi.Break generational curse! Hii shida iko karibu kila ukoo, vunja maagano (maroho) kama yapo! Ukiyakataa wewe utaokoa kizazi chako! Huo mzizi unahitaji mtu kujitambua kama ulivyotambua wewe dear, wokovu ni gharama! Hebu ba mchungaji Iceberg9 njoo msaidie mdogoetu huku mi nasinzia sijui😵💫
Amen! amen! Mallerina soma hapa mamani kweli unachosema ma mchungaji ipo hivi.
TUNAPASWA KUTAZAMA KINACHO ITESA ASILI YA KUZALIWA KUNQ JAMBO HUJURUDIA KWA KILA MTU NDANI YA FAMILIA MFANO UMASIKINI,ULEVI,KUACHIKA KWENYE NDOA,KUFUKUZWA KAZI,MAGONJWA MFANO UKIMWI,PRESHA,SUKARI KILA MTU ANAIRITHI KILICHOUMUA BABU,BIBI,BABA AU MAMA YAKE AU PIA KUTOELEWA UKIONA VITU KAMA HIVI KILA MWANAFAMILIA WENU ANAPITIA BASI UJUE HIYO NI GENERATION CURSE (LAANA),JAMBO NI MOJA NI KUIVUNJA HIYO MADHABAU YA LAANA NDANI YA UKOO ILI ISENDE KWA KILA MTU NA KWA WATOTO WAKO, KILICHOFUNGWA KWENU YAKUPASWA KUIVUNJA HIYO LAANA INAYOTAFUNA UKOO NA KUTAABISHA
Ezekieli 16:2-3
[2]Mwanadamu, uujulishe Yerusalemu machukizo yake,
[3]useme, Bwana MUNGU auambia Yerusalemu hivi; Asili yako na kuzaliwa kwako kwatoka katika nchi ya Mkanaani; Mwamori alikuwa baba yako, na mama yako alikuwa Mhiti.
Matatizo mengi yanayotesa maisha ya watu chimbuko lake ni minyororo ya LAANA za asili,ulipozaliwa upande wa baba na mama,unakuta kama baba alikua mlevi basi mtoto nae atakua mlevi,kama baba alioa na akamuacha baba basi kwenye hiyo familia ndoa ni changamoto,kama kwenye hiyo familia kupata kazi kubwa zenye kipato kikubwa basi hiyo chain itaenda kizazi mpaka kizazi itaka mpaka mtu abomoe hiyo madhabau za kale
mkuu ulipotea upo,unaendeleaje?Why do i find generation patterns scary!!?
Tell me why we repeat same cycles from every now and then its like same script plqyed by different people,,,.....
Mfano.... if one is raised in an emotionally unvailable family attrcts emotionally unavailable partner,🤔and the cycle continues
Kwa mwanaume kama baba yake alikuwa hatunzi familia uwezekano wa yeye kutotunza yake ipo juuu au kuwa mlevi au malaya,
Sawa ancestors are living in us tumekubali they continue to live through us and cycle continue when we fail to break them from time to time....
We have to break the cycles because it heals your entire lineage, past, present and future but how can we break them?????
Its hard and takes time
Ive come to realize we dont choose whats good for us bt what we are familiar with probly because of repeated cycles
Anyway tuishi tu ...
Born to suffer
Baba usiwe unabold mwanzo mwisho, nashindwa kusoma kwa utulivu 🥹mkuu ulipotea upo,unaendeleaje?
ipo hivi mtu wangu, mfano
Kipindi ambacho Taifa la Israel walipokuwa utumwani mwa wamidian, watu walikuwa wanaonewa sana na kunyang’anywa mali zao hata mazao yao yalikuwa yakiharibiwa.
lakini ili Mungu awatoe utumwani alimtafuta kijana Gedion akasimame kupigana vita hivyo,lakini Gideon yeye hukuamini anaweza kuwa na ujasiri wa kuweza kuwaokoa wanaisrael, anakiri udhaifu wake anasema yeye familia yake ni masikini atawezaje? unaona hiyo ilikua ni laana na ameishi akiamini hivyo,sasa Mungu anamuagiza Gideon vunja hiyo madhabau ya baali ya baba yake na ashera na amjengee ingine ndipo gedion akafanikiwa,vifungo vilishafungwa tangubtu siku hile amezaliwa kwenye hile familia ya umasikini ila ili afanikiwe anatakiwa kuvunja hiyo madhabau
soma kitabu Waamuzi 6:14-15
[14]BWANA akamtazama, akasema, Enenda kwa uwezo wako huu, ukawaokoe Israeli na mkono wa Midiani. Je! Si mimi ninayekutuma? [15]Akamwambia, Ee Bwana, nitawaokoa Israeli kwa jinsi gani? Tazama, jamaa zangu ndio walio maskini sana katika Manase,
MUNGU anawambia wana wa ISRAEL chimbuko la matatizo yao ni asili yao ya kuzaliwa,yani WAAMORI NA WAHITI WALIKUWA KABILA LENYE WATU WAKOROFI SANA. HII NDIYO MAANA HATA LEO TUNAONA VITA HAVIISHI KATI YA WANA WA ISRAEL NA MAJIRANI ZAO.Why do i find generation patterns scary!!?
Tell me why we repeat same cycles from every now and then its like same script plqyed by different people,,,.....
Mfano.... if one is raised in an emotionally unvailable family attrcts emotionally unavailable partner,🤔and the cycle continues
Kwa mwanaume kama baba yake alikuwa hatunzi familia uwezekano wa yeye kutotunza yake ipo juuu au kuwa mlevi au malaya,
Sawa ancestors are living in us tumekubali they continue to live through us and cycle continue when we fail to break them from time to time....
We have to break the cycles because it heals your entire lineage, past, present and future but how can we break them?????
Its hard and takes time
Ive come to realize we dont choose whats good for us bt what we are familiar with probly because of repeated cycles
Anyway tuishi tu ...
Born to suffer
Kwakweli hili ni tatizo kabisaa, tumsaidie mwenzetu huenda akaweza kuondoa hiki kitu kwenye maisha yake!Ugumu wa hyo ngoma,unabadilisha hata DNA ili hyo laana isambae kizazi kimoja mpaka kingine...
Uzuri wake ukisha ivunja kwa usahihi,hata zile DNA huchange pia..hivyo kizazi kinacho fuata hakitakuwa na zile chembe chembe za laana,maana zimeshafutwa kuanzia kwenye DNA. Cc Seran
View attachment 3556333