Unapofunga macho inakufanya uwe na hisia fulani juu ya mnayetenda naye hicho kitendo.pia inakuhamisha kutoka mawazo uliyokuwa nayo na kukupeleka sehemu nyingine kabisa ila ni kama tu kweli umefurahia na una utayari na tendo lenyewe,vinginevyo ni ulaghai tu kuficha aibu yako sababu unajua unazuga