Sure hiyo ndo kazi ya Usalama wa Taifa sasa yeye kazoea kuona wa hapa nyumbani wakitembea na bisibisi wanang'oa kucha na meno..
Hivi huyu dogo aliwashwa na nini mpaka kalopoka hizi mambo za wakubwa?
Jamaa mwenye miaka 29 aliyekuwa mfanyakazi wa CIA kitengo maalumu cha udukuzi amejitokeza hong kong na kutoa siri kuwa yeye ndiye aliyevujisha siri ya kwamba Wamarekani wametengeneza technologia ya hatari ambayo inapekuwa simu na mitandao yote duniani,yani hata kama unapiga simu wenyewe wanarekodi,hali hii imetishia demokrasia duniani kote.
America ni noma,alafu wanadai china wana dukua mitandao yao kumbe America ni wenyewe wataalamu.
Source,bbc,al jazeera,cnn,dw,
Ni nani sasa wa kumshitaki Obama? Maana kwa nionavyo mimi huo si mpango wa Obama bali ni mpango wa Marekani kwa manufaa ya Marekanijamaa alikua former Technical assistant wa CIA kabla hajaacha na kujiunga na kampuni ambayo baadae ilipata contractor hapo NSA,ambao kwasababu ya surveillance program yao wanajenga bonge la mtambo utakaokuwa unavacuum any kind of information kuanzia mawasiliano ya simu,email,fax etc from thin air na kuzianalyse.
Kuingilia mawasiliano ya mtu ni kinyume cha katiba ya marekani,anasema kaamua kusacrifice mambo yote ikiwamo mshahara mnono,girlfriend,familiar ili kulisanua.
Na hiyo issue imekuwa moto kuna watu kama senetor Ron Paul wanataka rais obama ashitakiwe kwa kukiuka katiba aliyoapa kuilinda.