Nasema
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 556
- 344
Mimi nitoe experience yangu ktk hili. Kati ya wanaume watatu niliowahi kutoka nao hadi sasa, wawili walikuwa wanalala baada ya ku..j. (kati yao mmoja aliwahi kupitiwa na usingizi akiwa kanilalia juu yangu kabisa yaani baada ya kufika kileleni, nilishangaa, nikamsukuma pembeni nikaenda zangu bafuni). Huyu mmoja ambaye ndio wa tatu yeye halali, akimaliza hiyo kitu stori na mambo mengine yanaendelea!