Why do i still miss him jamani

Thank u dear i dont know what is between the two
 
At one point a woman has to choose to move on and live her life to the fullest and not love a man who doesn't love her.
 
Reactions: kui
Hili suala la 'damu yake' au 'damu yangu' huwa silielewi.

Ni wapi wamechanganya hizo damu? Owkay, hata kama wamechanganya, mtu anawezaje kumkataa mtoto afu akamrefer as 'damu yake'

Huyu dada anapitia 'relapse' ya break up tu, labda hajakunwa siku nyingi, ule upweke unafanya akumbuke anachokijua.

Kumsahau ni ngumu, as tayari una damu yake.
Anyway, time is a cure to your situation, just take a heart.
 
Weakness yako iko kichwani zaidi, yaani ale ujana huko weee afu akichoka ndio akurudie wewe unamsubiri tu?

Umepungukiwa nini kwani, as a woman?

Kurudiana sidhani mwenzangu bado anakula ujana mi nalea labda akichoka kuhangaika
 
utamsahau vipi wakati una mtoto umezaa nae? .kama mtoto yupo na unae wewe lazima utamkumbuka tu baba yake


kovu lisilofutika hilo
 
Kama bado unampenda mtafute umueleze, myamalize muanzae upya na Mungu atawabariki. Ukishindwa wewe mwenyewe nipo tayari kumfikishia ujumbe au kufanya upelelezi kujua kama nayeye huwa anakuwazia au la ili uchukue hatua kabla giza halijaingia. Hakuna kitu kizuri kwa watoto kama kulelewa na wazazi wote wawili na kuonyeshwa upendo kutoka kwa wazazi.
 
mmmmmh pole mtafute waweza kuta nae anakuwaza

Kweli kabisa hadi mimi namuwaza!!!
Ha ha ha wanapendana hao ingawaje hajataja sababu ya kuachana inawezekana yeye ndo source ndo maana bado anam miss ,Nature ndo iko hivyo
 
Naumia sana nkikumbuka zama zetu, natafuta kiki ya kurudi, huyo mtoto wetu ananipain zaidi ya maelezo, ntaku-sms nkiweka vocha!
 
Kuoa mwanamke mwenye mtoto tayari ni janga ambalo utali-regret for the rest of ur life.
 

Hasa ukizingatia ni mzazi mwenzako, hio ni ngumu kumeza!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…