why do elimu of Tanzania so bad? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

why do elimu of Tanzania so bad?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by johny blaizy, Jan 19, 2012.

 1. johny blaizy

  johny blaizy Member

  #1
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  in tanzania unaweza ukaona people dea lenning from grade 1 to grade seven and from dea iz unaanza new lyf from form 1 to six and lets say umepoteza lets say miaka kumi na nne unasoma but ukiulizwa wat have u gain from wat u were be told at class its nothing gained at al n ndo mana uwezi kucompair mzungu wth africann`s hasa Tanzanian people we are in local stage n inabidi mtu awe anaelewa wats anacho somea lyk whites people usa, uk, any othr places.
   
 2. k

  kotinkarwak JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2012
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sijui nicheke au nilie, kwani ulivyoandika kweli, kunaonyesha ni jinsi gani elimu ya Tanzania ilivyo mbovu.
  Acha kasumba ndugu yangu kuhusu elimu katika hizo nchi ulizozitaja. Huko watoto wanabebwa sana, hamna kitu kinaitwa ku'fail, hamna mambo ya kurudia darasa... Ukifika vyuoni, watu kutoka nchi zingine wanawapiga bao ile mbaya na hauwezi ku'compare uelewa jinsi hiyo.
  ndio elimu yetu ina kasoro nyingi tu, lakini hayo mapengo yakizibwa, nadhani tutafika mbali.
   
 3. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Wewe umesoma wapi?
   
 4. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,290
  Likes Received: 1,442
  Trophy Points: 280
  habari yako ndugu John na sante kwa uzi huu. Inawezekana kabisa uliyoyandika ni sahihi.

  Ili tuendelee na mjadala ingekuwa vizuri kama ungeanza kwa kutujuza elimu yako umeipatia wapi.
   
Loading...