hapana. waisrael halisi walitawanyika wote, majority walienda iraq na uajemi (iran), wengi sana walienda Yemen, ukienda israel kuna wayahudi wa kiyemen, yaani kizazi kilichohamia kule karne nyingi wamerudi baada ya 1948, hawajui kiingereza ila wanaongea kiarabu na kiebrania. kuna wale wa north africa, kuna wale wa ugiriki, hao ndio wengi, kuna wale wa italia, malta. hao ndio wengi, ila asilimia ndogo sana ndio wale ashkenaz, walihamia ulaya ila wakazaliana sana, ndio hao kina netanyahu wana sura za uzungu.Waisrael asilia walibaki Jerusalem mkuu.
Na kuna mapigano yaliyopiganwa nyuma ya miaka ya 1920s kati ya waarabu na wana Israel hapo Jerusalem,ngoja nitaleta hapa.
Ila kile kipindi cha ZIONISM movement asili kuu ya uyahudi ilingiliwa na sasa wanakinzana kuhusu tamaduni halisi za uyahudi.
Wapo waliobaki Jerusalem mkuu kafuatilie.hapana. waisrael halisi walitawanyika wote, majority walienda iraq na uajemi (iran), wengi sana walienda Yemen, ukienda israel kuna wayahudi wa kiyemen, yaani kizazi kilichohamia kule karne nyingi wamerudi baada ya 1948, hawajui kiingereza ila wanaongea kiarabu na kiebrania. kuna wale wa north africa, kuna wale wa ugiriki, hao ndio wengi, kuna wale wa italia, malta. hao ndio wengi, ila asilimia ndogo sana ndio wale ashkenaz, walihamia ulaya ila wakazaliana sana, ndio hao kina netanyahu wana sura za uzungu.
Nenda kasome NEBI MUSA/JERUSALEM RIOTS 1920.hapana. waisrael halisi walitawanyika wote, majority walienda iraq na uajemi (iran), wengi sana walienda Yemen, ukienda israel kuna wayahudi wa kiyemen, yaani kizazi kilichohamia kule karne nyingi wamerudi baada ya 1948, hawajui kiingereza ila wanaongea kiarabu na kiebrania. kuna wale wa north africa, kuna wale wa ugiriki, hao ndio wengi, kuna wale wa italia, malta. hao ndio wengi, ila asilimia ndogo sana ndio wale ashkenaz, walihamia ulaya ila wakazaliana sana, ndio hao kina netanyahu wana sura za uzungu.
Soma hizi mkuu.hapana. waisrael halisi walitawanyika wote, majority walienda iraq na uajemi (iran), wengi sana walienda Yemen, ukienda israel kuna wayahudi wa kiyemen, yaani kizazi kilichohamia kule karne nyingi wamerudi baada ya 1948, hawajui kiingereza ila wanaongea kiarabu na kiebrania. kuna wale wa north africa, kuna wale wa ugiriki, hao ndio wengi, kuna wale wa italia, malta. hao ndio wengi, ila asilimia ndogo sana ndio wale ashkenaz, walihamia ulaya ila wakazaliana sana, ndio hao kina netanyahu wana sura za uzungu.
Hakuna cha laana, wao watengeneze tu nchi moja ili waishi kwa amani, makabila 2 yanashindwaje kuishi kwa amani?Wavamizi hao waliolaaniwa, na laana ziendelee kuwaumiza mashetani hao
Free palestine 🇵🇸
Changelings kibaoI am interested in hearing your thoughts on the matter.
Do you believe there is a reason for the ban on DNA testing in Israel?
Sometimes I wonder how in the world, we as men are so easily manipulated. We pretend to have "mfumo dume" but when it comes to things that matter we fall into the same trap, even rats don't do that.That's stupid argument.
So they are protecting unfaithful women, right?
ndugu yangu, kwani hapo tunaongelea miaka ipi? usije kuwa unajadili miaka ya 1800 na 1900. tunaongelea kabla ya hapo. hatuwezi kusema waliondoka wote kabisa, ila ukweli ukienda Iran kwa mfano, wale waliohamishwaga miaka ileee ya kina Jeremia, shedrack meshack na abednego, kizazi kile, kipo hadi leo na kuna myahudi mmoja hadi alikuwa waziri huko iran miaka ya nyuma. hadi leo iran kuna wayahudi takriban 8000, zamani walikuwa maelfu ila walikimbia wote miaka ya 1900.Wapo waliobaki Jerusalem mkuu kafuatilie.
Na pia kuna mapigano mengi yalitokea baina ya waarabu na wayahudi hapo Jerusalem kugombania utawala wa hilo eneo.
Mapigano ya mwisho ni ya 1946 kafuatilie usibishe mkuu.
Mkuu unaandika maelezo mengi ambayo huwenda hayana tija.ndugu yangu, kwani hapo tunaongelea miaka ipi? usije kuwa unajadili miaka ya 1800 na 1900. tunaongelea kabla ya hapo. hatuwezi kusema waliondoka wote kabisa, ila ukweli ukienda Iran kwa mfano, wale waliohamishwaga miaka ileee ya kina Jeremia, shedrack meshack na abednego, kizazi kile, kipo hadi leo na kuna myahudi mmoja hadi alikuwa waziri huko iran miaka ya nyuma. hadi leo iran kuna wayahudi takriban 8000, zamani walikuwa maelfu ila walikimbia wote miaka ya 1900.
ukienda Iraq nako hivyo hivyo. walichukuliwa mateka sana enzi za kina Nebukadreza. jamii za kiyahudi zote hata ukienda israel wanajuana, ni sawa na sisi sote ni watanzania ila tunajuana huyu mtanzania wa Lindi, huyo wa bukoba n.k, na pale israel wanaongea lugha nyingi tu za kuzaliwa nazo. mojawapo ya jamii kubwa sana ya wayahudi walikimbilia na kusettle Yemen, hao wanaitwa wayahudi wa kiyemen, wapo wengi sana walikimbilia uyunani/ugiriki, wapo wengi sana walikimbilia uturuki na huko tangu enzi hizo ndiko alikozaliwa Paulo, paulo alikuwa mtu wa tarso huko uturuki. hata wakati wa Yesu alipopaa mitume walikuwa wakienda nchi kwa nchi wakihubiri kwenye masinagogi ya wayahudi, walishasettle huko.
ukienda israel leo kuna wayahudi, pamoja na kwamba wanaongea kiebrania, ila wanaongea kirusi, kiarabu, kiukraine, kiingereza, kijerumani, kipolishi, kifaransa n.k. mpaka mwaka wa 1900 idadi ya waarabu pale holy land ilikuwa kubwa mno kuizdi wayahudi ambao walisharudi kuungana na wachache sana ambao hawakupelekwa ukimbizini. huko kote walitawanyika walitawanyika kama wakimbizi waliokuwa wanakimbia persecution kutokana na dini yao. ila kufikia 1948 wayahudi walishafikia 600,000 na wakawazidi waarabu idadi.
hao wanaoitwa wapalestina, ni wahamiaji wa kiarabu waliovamia ardhi ya wayahudi baada ya kukimbilia ukimbizini. wengi ni wamisri, wajordan, lebadon, syria n.k. na hata sura zao zinajulikana hata kiongozi wa mmoja aliongea hapa juzi kwamba wapalestina ni wahamiaji toka mataifa hayo.
wanashindwa kufuta historia kwasababu hadi leo pale israel kuna kaburi la Daudi, Absalom , kisima cha yakobo na ushaidi mwingi unaoonyesha eneo lile ilikuwa falme ya wayahudi lakini baada ya kwenda ukimbizini waarabu wakavamia, wakapaita kwao.
Sababu Iko wazi wale siyo native wa Ile nchi ni wazungu wamekusanya na kuvamia paleSasa sababu ya kuzuia vipimo vya DNA ni ipi?
Sawa mkuu, sasa kwanini hao wazungu walichagua kuvamia nchi hiyo na si nyingine? Unadhani ni nini hasa kiliwavutia na kuamua kuishi pale Israel?Sababu Iko wazi wale siyo native wa Ile nchi ni wazungu wamekusanya na kuvamia pale
Kitanda hakikosei wazazi ndyo hukosea...... Sindiyo?
Hakika lo
Jews na Judaism kama hujui tofauti yake tuliaNew ni mtu,Kama vile Muslim, Judaism ni Imani Kama vile Islam,kufika huko siyo kujua ya huko, Israel Ina waarabu yeah,na uislam ni dini ya pili kwa ukubwa Israel baada ya Judaism,hoja Yako nini!?
Jew ni mtu/muumini, Judaism ni Imani yenyewe,Muslim ni mtu, Islam ni Imani yenyewe,Jewish/islamicJews na Judaism kama hujui tofauti yake tulia
Ndio maana nikakusahihisha kuna dini kuna dini na kuna watu so Judaism unaweza kuwa hata wewe lakin huwez kuwa myahud.Jew ni mtu/muumini, Judaism ni Imani yenyewe,Muslim ni mtu, Islam ni Imani yenyewe,Jewish/islamic