BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,332
Wameshazipata tano ikiwemo ya Hurricane Katrina in New Orleans (2005)
Mbaya zaidi sasa wameanza kuchunguza habari zake nyingi alizowahi kuziripoti ili kuona kama alikuwa anatia chumvi.
Ila mimi nahisi wengi tu wa hawa maripota huwa wanatia chumvi na yeye si wa kwanza kubambwa.
Kibaya kwake ni kwamba kabambwa tu sasa hivi na kwa Marekani ukiwa mwanahabari halafu ujiharibie uaminifu wako ndo basi tena.