Why Did Brian Williams Lie?

Why Did Brian Williams Lie?

Hilo la jamaa kuachiwa mikoba kila Brian Williams anapokuwa vacation au nje ya nchi kwenye special assignments nalifahamu. LH anastahili kupewa hiyo nafasi, lakini uwezekano wa yeye kupewa kwa maoni yangu ni mdogo just because of the color of his skin. Tusubiri tuone hili sakata litaendaje.

Kwa nini wasimpe Lester H.?!, halafu, hivi kuna mweusi kweli kwenye evening news in those major networks?!, wawe wa kwanza ku break the glass ceiling!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa nini wasimpe Lester H.?!, halafu, hivi kuna mweusi kweli kwenye evening news in those major networks?!, wawe wa kwanza ku break the glass ceiling!

Wewe unawaza weusi tu? Latinos je? Asians je? Native Americans je?

Au wengine haijalishi sana na wanaojalisha ni weusi tu?
 
Wewe unawaza weusi tu? Latinos je? Asians je? Native Americans je?

Au wengine haijalishi sana na wanaojalisha ni weusi tu?

because Lester H., is the one who used to replace BW when he was absent so why can't he take over now?!,......he hot too!
 
because Lester H., is the one who used to replace BW when he was absent so why can't he take over now?!,......he hot too!

Lester ain't the only one who can replace him.

I'm hearing Savannah Guthrie is the top contender as the replacement.

07d6706b3e6f403e43a6c13c0dd2fa6d_400x400.png
 
because Lester H., is the one who used to replace BW when he was absent so why can't he take over now?!,......he hot too!
Chuck Todd will be a good fit, lakini sidhani kama watamtoa kwenye meet the press!.
 
Nyani Ngabu
I like Savannah Guthrie, she is a good reporter!
 
Last edited by a moderator:
Just tell the truth dude....you don't really like her because she's a good reporter.

You like her because she is easy on the eyes!

Hahahahaaaaaa.
Hey...She is a married woman dude, and she just got a baby a couple of month ago!
 
Lester ain't the only one who can replace him.

I'm hearing Savannah Guthrie is the top contender as the replacement.

07d6706b3e6f403e43a6c13c0dd2fa6d_400x400.png

I want this......
 
Attachments

  • lester-holt.jpg
    lester-holt.jpg
    45.3 KB · Views: 32
News can get boring but not with this........
 
Attachments

  • 2158968.jpg
    2158968.jpg
    17.6 KB · Views: 54
  • Corbis-OUT069489.jpg
    Corbis-OUT069489.jpg
    21.9 KB · Views: 51
Just in; Brian Williams is being suspended for 6 months without pay!.....CNN

....... I doubt watamrudisha, uzuri wa Wenzetu they don't play, no matter how big of a brand you're, if you mess up, you get screwed up!
 
Brian Williams has been suspended for six months without pay.
 
Mie kwa maoni yangu hastahili kurudi. Jamaa ana hulka ya kuongeza chumvi katika habari zake. Nimesikia toka CNN kwamba NBC walionywa wakati Brokaw anaondoka kwamba huyu hastahili kuchukua kiti cha Tom Brokaw naona wakadharau sasa inakula kwao.

Jamani ndio bye bye hivyo!
 
Just in; Brian Williams is being suspended for 6 months without pay!.....CNN

....... I doubt watamrudisha, uzuri wa Wenzetu they don't play, no matter how big of a brand you're, if you mess up, you get screwed up!

Mbaya zaidi sasa wameanza kuchunguza habari zake nyingi alizowahi kuziripoti ili kuona kama alikuwa anatia chumvi.

Ila mimi nahisi wengi tu wa hawa maripota huwa wanatia chumvi na yeye si wa kwanza kubambwa.

Kibaya kwake ni kwamba kabambwa tu sasa hivi na kwa Marekani ukiwa mwanahabari halafu ujiharibie uaminifu wako ndo basi tena.
 
Back
Top Bottom