Pape
JF-Expert Member
- Dec 11, 2008
- 5,488
- 79
hapana mkuu,SEMINARY STYLE ndiyo jibu pekee la ELIMU ya TANZANIA....!
kuna watu wengi tu tumechana vyema lkn hatujawahi kugusa hizo seminari. kwanza seminari utakuta kuna watoto 30 tu darasani. sasa ukitaka kila wamiliki shule waweke utaratibu wa wanafunzi wachache kama wa seminari mmmh sijui wadogo zetu sisi watasoma wapi!
Pia hao wanaosoma seminari wengi wao wanalishwa kila kitu. Kuna jamaa yangu flani alimaliza Maua miaka ya mwishoni mwa tisini na alipata div I.7 lakini mtihani wa form six alikuja kuharibu mbaya na alipata div 4.
Popote kambi mkuu....
Ni mtazamo wangu tu....