GE2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!


Yeye anadhani yule mzee mwingine alieamua kukaa kule Tukuyu milimani akifaidi hali ya hewa ya kule huku akipigapiga picha na kukesha mitandanoni, amependa vile!

Amerusharusha makombora kutoka huko milimani na vifaru vikaelekezwa hukuhuko.

Kiinua mgongo chao ni kizuri tu kinawatosha.
 
Nchi ya wajinga hii, yeyote anaweza kuwa Rais....huyu wa sasa ni mtupu lakini tupo nae tu.
Wajinga ukiwaelimisha wanaelimika sasa sijui ulikua na maana nchi yampumbafu kama wewe au nchi ya wapumbafu,ambao hawawezi kuelimika.
 
Nilishawahi kusema humu ndani kuwa Muogopeni Lowassa aliyekaa kimya kuliko kitu chochote.Ni bora wangemuacha akafanya mikutano kuliko hizi siasa za chini chini na fitna.The guy is more intelligent than nobody could ever imagine.Mgogoro unaokuja ndani ya CCM hauelezeki na ni fursa ya CDM kujijenga.Narudia tena,Lowassa mkimya ni hatari muno!
 
Kweli kabisa
 
Umelewa wewe nani wa kusimamia huo mgogoro na ataanzia wapi? Hivi unawajua makada wa chama cha mapinduzi au wenye chama unawajua? Tegemea kutosikia mwanzilishi wa mgogoro ndani ya ccm.
 
Nimemkumbuka kipindi.anasema akiwa rais watu 12 wajiandae pale airport kuhamia kenya

I think ( I have the right to think. Don't I ?) Membe would make a better president. Thanks to figisufigisu we are now stuck
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…