Niko single ..naninafurahia kuwa Hivi mpka pale wakati sahihi utakapo amua kuniletea mtu sahihi kwangu""
sipendi. purukushani za mahusiano mnoo
mapenzi nisehemu ya maisha tu..nasio kwamba nimaisha kamili..ukiachana na mapenzi bado kuna vitu vingi tu ambavyo mtu anaweza kuvishiriki navikampatia furaha

Niko single kwa kuwa mpenzi wangu wa kwanza,aliyekuja kuwa mke wangu baadae,alizalishwa mtoto wa pili na mtu mwingine.Ila aliamua kuanzisha ugomvi yeye mwenyewe baada ya kujishuku ingawa sijawahi kumwambia hadi leo kuhusu mtoto huyo.Watoto nawapenda sana na sitaki kuonesha kwamba yule mwingine ana baba tofauti na mimi.Ananitambua mimi kama baba yake,wala sijamwabia hata ndugu yangu mmoja.
Nimeamua kuishi single hadi leo.