How do we measure that limit?
As defined by Qur'an and Authentic teachings of the Prophet Muhammad(SAW).
Islam regards the sole purpose of life as to worship the ALMIGHTY GOD....islam allows to enjoy the provisions on the earth in a just manner.
Tofauti na mtizamo wa wengi,islam views worldly achievements from it's root level,from it's source and how they are spent.
Asiyefuata uislam huwa anaangalia mafanikio tu na sifa zake bila kujali mchakato mzima wa upatikanaji,uwe wa haki ama kinyume..no one cares.
Uislam hauwezi kuruhusu:
>>US conducted radiation experiment on 1000s civilians during 1940~1950
>>Pharmacological clinical trials are very common on elderly,disabled,children and prisoners
(kama uko interested,google history of pharmacological clinical trials ,utaona ni lini na nani walifanya)
>>Financial success at the cost of other lives in Siera Leone,Congo,Angola etc,as a result 70% ya natural resources zinatumiwa na 18% ya world population.....
International big parastatals:
>>Fuatilia history IMF and World Bank high profile leaders(including presidents)..majority ni Jews....angalia ukandamizaji wa hizo International bodies dhidi ya nchi maskini.....year after year tunalimbikiziwa compound interests ambazo hatuwezi kamwe kulipa...madhara yake ni kutupa masharti yanayowafaidisha wao ili tusamehewe aidha mkopo ama riba na siyo vyote at once.
>>Sekretarieti nyingi muhimu za UN ziko under Jews,na huwa wanafanya kila liwezekanalo awekwe mtu wao au ambae hatakuwa na sauti....wikileaks wametoa hila za US kumtenga mu Iran asipate nafasi muhimu katika sector inayoshughulikia mazingira.
Kwa hiyo kama maendeleo yenyewe yanapatikana kwa dhulma namna hii....they are not for us...na historia inajieleza watu wote waliochagua upande wa haki,upande wa Mungu..wanaonekana ni dhalili machoni mwa watu,kwa sababu huwa wanajizuia na maovu kwa makusudi ya kumridhisha Muumba wa mbingu na ardhi.Lakini always victory inakuwa upande wao,kwa sababu haki siku zote lazima in the victorious side..it will just take time.haya ni miongoni mwa mafundisho niliyoyapata kutoka katika sinema ya Yesu(AS) na Bible in general,wafuasi wa mitume siku zote walionekana ni dhalili kwa kila nyanja...but at the end of the day they got victory.