Zakumi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2008
- 5,063
- 2,492
Nimewahi kumsikia mtumishi wa Mungu Mwl. Mwakasege akisema kuwa, moja ya umasikini na kutokuwa na maendeleo katika nchi nyingi maskini ni kutoitambua au kushirikianana na Israel, baada ya hapo hakutaka kuendelea kwa sababu za kisiasa au labda aliogopa malumbani ya kidini kupamba moto zaidi. Naomba kuuliza wa JF, je ni kweli umasikini wa nchi nyingi ni kutokuwa na mahusiano na Israel??? Je! wayahudi wana karama gani kuweza kuisadia dunia??
Watanzania na mambo ya imani yanawafanya kuwa vilaza wa kila kitu hata rational thinking inawapotea. Maendeleo yanakuja kutokana na kuwepo na kufuatwa kwa kanuni za uchumi tu.
Nina vitabu vya uchumi vilivyoandikwa na myahudi vinavyoonyesha kwanini nchi za Afrika masikini na hakuna hata sehemu moja anayosema kuwa kuwa na uhusiano na Israel ni solutions.