Why Africa Will Not Experience Massive Death From COVID-19

Sioni tatizo na publications hizo. kama umesoma epidemioligy of diseases and statistical model of diseases, walikuwa sahihi at that time.
Walikuwa sahihi kwa vipi na kirusi chenyewe cha C-19 haki-meet requirements za Kock's postulates?Wanasema eti kuna an exception to Kock's postulates,science fake kabisa hii.Kama hakikubali sio disease pathogen basi,kinasingiziwa!The whole thing is a sham.Na wala hakuna Epidemiology au Statistical Model of Diseases inayo prove what you are saying.Elimu za leo ni za ajabu sana,mtu anafika level ya PhD mpaka ana specialize in an area of Pathology na kufanya research yake humo na hatimaye kuandika Thesis,wala hajui kwamba viruses do not meet the requirements of Kock's Postulates,ajabu sana.Mambo yanafumbwa fumbwa tu.

Koch's Postulates
to Identify the Causative Agent of an Infectious Disease

bar13(1).gif

Koch's Postulates
Four criteria that were established by Robert Koch to identify the causative agent of a particular disease, these include:

  1. The microorganism or other pathogen must be present in all cases of the disease
  2. The pathogen can be isolated from the diseased host and grown in pure culture
  3. The pathogen from the pure culture must cause the disease when inoculated into a healthy, susceptible laboratory animal.
  4. The pathogen must be reisolated from the new host and shown to be the same as the originally inoculated pathogen

Naomba pia uangalie na usikilize clip ifuatayo,naamini itakusaidia sana.

bar13(1).gif
 
Mbona nimeisoma humo sijaona hilo jibu la "why".
Hujui Kingereza na wewe bwana,wenzio wanaona mpaka wana-comment kwenye hilo wewe unasema huoni sikutafunii,soma tena.Anyway ngoja nikusaidie,hii hapa.

6613a9a628f4b4611364ab51d925a5c6
 
Bado ni mapema anything can happen
Hivi hawa watu unawajua ndugu,ni matapeli ya kutupwa.Sababu kwa nini Waafrika wasingekufa na hawatakufa zinafahamika,walikuwa wanababaisha tu.Wasiojua na kudanganywa ni kweli ni wengi ukiwemo wewe,ila nadhani ni kwa sababu sio mtaalamu,na kama ni mtaalamu you do not have an independent mind.
 
Hii dunia mzungu kuiongoza imeshamshinda ni zamu ya waafrika sasa fumbueni macho.

MAGUFULI4LIFE.
 
Walikuwa sahihi kwa vipi na kirusi chenyewe cha C-19 haki-meet requirements za Kock's postulates?Wanasema eti kuna an exception to Kock's postulates,science fake kabisa hii.Kama hakikubali sio disease pathogen basi,kinasingiziwa!The whole thing is a sham.Na wala hakuna Epidemiology au Statistical Model of Diseases inayo prove what you are saying.Elimu za leo ni za ajabu sana,mtu anafika level ya PhD mpaka ana specialize in an area of Pathology na kufanya research yake humo na hatimaye kuandika Thesis,wala hajui kwamba viruses do not meet the requirements of Kock's Postulates,ajabu sana.Mambo yanafumbwa fumbwa tu.

Koch's Postulates
to Identify the Causative Agent of an Infectious Disease

bar13(1).gif

Koch's Postulates
Four criteria that were established by Robert Koch to identify the causative agent of a particular disease, these include:

  1. The microorganism or other pathogen must be present in all cases of the disease
  2. The pathogen can be isolated from the diseased host and grown in pure culture
  3. The pathogen from the pure culture must cause the disease when inoculated into a healthy, susceptible laboratory animal.
  4. The pathogen must be reisolated from the new host and shown to be the same as the originally inoculated pathogen

Naomba pia uangalie na usikilize clip ifuatayo,naamini itakusaidia sana.

bar13(1).gif

safi kasbisa. Nimesoma microbiology , epi , kidogo statistics, virology, immunology... hivyo nakupata vema. Usione mnatukana humu nyie vijana.. hayo nimeyasoma 1983! UDSM kabla ya degree za juu
 
Hivi hawa watu unawajua ndugu,ni matapeli ya kutupwa.Sababu kwa nini Waafrika wasingekufa na hawatakufa zinafahamika,walikuwa wanababaisha tu.Wasiojua na kudanganywa ni kweli ni wengi ukiwemo wewe,ila nadhani ni kwa sababu sio mtaalamu,na kama ni mtaalamu you do not have an independent mind.
Nakwambia tunapambana na virus bado ni mapema kusema tumeshinda hii vita!
 
Sababu halisi ni zipi,?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli, almost miezi mi3 sasa
Angalia trend ya maambukizi ilivyoanza taratibu sana Sauth Africa mpaka waliamini kuwa wanaelekea kushinda maana iliwachukua zaidi ya mwezi mmoja kufikia idadi ya maambukizi 1000 wakati hivi sasa hiyo 1000 ni idadi ya maambukizi ya siku moja tu.
 
Angalia trend ya maambukizi ilivyoanza taratibu sana Sauth Africa mpaka waliamini kuwa wanaelekea kushinda maana iliwachukua zaidi ya mwezi mmoja kufikia idadi ya maambukizi 1000 wakati hivi sasa hiyo 1000 ni idadi yangu maambukizi ya siku moja tu.
Tuongelee kuhusu hali ya nchi yetu, Tanzania.
Me naona so far Mungu ametushindia na naomba hali iendelee hv ikiwezekana ugonjwa utokomee kabisa soon.
 
Nakwambia tunapambana na virus bado ni mapema kusema tumeshinda hii vita!
Mkuu tunajua kwa nini virusi havitakuja Africa na kwa nini viko Ulaya sana sana,this is science,ila iliyojificha kidogo.Hata WHO wanajua kwa nini, wanajibaraguza tu.Mazingira ya kuwepo C-19 hayapo kwa sasa Africa,ingawa wanafanya kila juhudi yawepo.Hata hivyo kwa sasa inaonekana wameshindwa kuungasha tukio lenyewe kwa kuwa hawana direct control na Africa.
 
Back
Top Bottom