Fuata ushauli huu ni mzuri! but umeeleweka!Ha ha ha umenifurahisha sana! kijana excel inakupiga chenga kidogo!
Nakushauri nenda pale UDSM ukafanye kozi ya computer, Ukiiva vizuri ndo uje na upupu wako mwingine!
Ha ha ha umenifurahisha sana! kijana excel inakupiga chenga kidogo!
Nakushauri nenda pale UDSM ukafanye kozi ya computer, Ukiiva vizuri ndo uje na upupu wako mwingine!
Fuata ushauli huu ni mzuri! but umeeleweka!
INVISIBLE UPOOOO....!
mtu kama huyu nikimwandikia CRAP utanifungia kweli...!
nadhani umesoma CHOO KIKUU na sio CHUO KIKUU....!! hii ni aibu ujue...! tumia akili kufanya tafiti na sio %#@%#^#**
Chenga ipi? Nilisoma huko huko unakosema!