Who's right? "Had have had"

hapo ndio mzozo sasa....mwanzoni nimesema waingereza na wamarekani wanakinzana...

...waingereza wanasem "I'd have had" expands to "I had have had" kwao ni sawa kabisa....lakini wamarekani had have had ni makosa....

Hata siku moja - "I'd have had" does not expand to "I had have had" - hakuna kitu kama hicho, period. "I'd have had" expands to I would have had ikiwa na maana ya (kama) ningekuwa.. na.

Usemi If I'd time I'd do it kirefu chake ni If I had time I would do it na kamwe siyo If I had time I had do it (lol)
 
Back
Top Bottom