......
If I'd have had the money I would have bought it.
.... "I'd" is short for "I had", so "I'd have had" expands to "I had have had". I've been hearing, using, and reading, this construction.....
.........
swa mkuu zinakubalika lakini ukikutana na british na mnyamwezi huwa wanakinzana kwenye lugha zao....mfano lift na elevetor..........nakumbuka kuna mnyamwezi alikuwa anatafisiriwa movie ya kiingereza mengi ya maneno haelewi....Variations zote sawa kwani American English na British English zote zinakubalika na kutumika dunia nzima.
swa mkuu zinakubalika lakini ukikutana na british na mnyamwezi huwa wanakinzana kwenye lugha zao....mfano lift na elevetor..........nakumbuka kuna mnyamwezi alikuwa anatafisiriwa movie ya kiingereza mengi ya maneno haelewi....
angalia kama hii I've had have had ukinyambulisha ni I have had had ambayo haileti maana kabisa.....
wakenya hawaongei kiswahili ile ni lugha tofauti kabisa..mfano utasikia anakuambia....ukipita kwa chochoro utamadwa....umeeelewa nini hapoTofauti siyo kubwa kihivyo. Kenya kwani wanaongea lugha gani? Si Kiswahili? Sasa Kiswahili chao na chetu viko sawa? Na wakiongea wewe huwa huwaelewi?
Niliona CNN walikuwa wanamuohoji jamaa african american kama sijakosea toka jimbo la Louisianawakawa wanaweka subtitle za kingereza na wakati jamaa alikuwa anaongea kingereza...
John said that he had have read that book. Ipi sahihi?
hapo ndio mzozo sasa....mwanzoni nimesema waingereza na wamarekani wanakinzana...Hii sijui umeiokota wapi?
HII UMEITOA wapi,nimejichanganya for some time,lakini-had have had-never heard such sentence,hope ujachanganya na mambo ya kwenye vitabu vya poetryhapo ndio mzozo sasa....mwanzoni nimesema waingereza na wamarekani wanakinzana...
...waingereza wanasem "I'd have had" expands to "I had have had" kwao ni sawa kabisa....lakini wamarekani had have had ni makosa....