Who's longest serving leader in the world??

Who's longest serving leader in the world??

Mozila

Senior Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
174
Reaction score
49
Nilikuwa naangalia BBC kuhusu uchaguzi wa Zimbabwe, nikashangaa walivyosema Robert Mugabe ni longest serving leader in the world, wakati wanajua queen Elizabeth wa pili yupo madarakan kwa miaka 60.
 
nafikiri wanamaanisha kiongozi wa kiserikali na cyo kifalme
 
Nilikuwa naangalia BBC kuhusu uchaguzi wa Zimbabwe, nikashangaa walivyosema Robert Mugabe ni longest serving leader in the world, wakati wanajua queen Elizabeth wa pili yupo madarakani kwa miaka 60.
wewe hutaki?
 
kuna hawa jamaa wanafuatia kwa karibu
1. museveni wa uganda
2. kagame wa rwanda
 
Nadhani wangeweka distinction ingekuwa sawa sana. Jibu lingekuwa vere wazi
 
Nilikuwa naangalia BBC kuhusu uchaguzi wa Zimbabwe, nikashangaa walivyosema Robert Mugabe ni longest serving leader in the world, wakati wanajua queen Elizabeth wa pili yupo madarakan kwa miaka 60.

Ndugu, usichanganye mambo. Malkia haongozi serikali, wala hapigiwi kura. Yeye ni ceremonial leader ndio sababu nafasi yake ni ya kurithi. Anayeongoza serikali ni waziri mkuu wa Uingereza. Hope tupo pamoja
 
Nilikuwa naangalia BBC kuhusu uchaguzi wa Zimbabwe, nikashangaa walivyosema Robert Mugabe ni longest serving leader in the world, wakati wanajua queen Elizabeth wa pili yupo madarakan kwa miaka 60.

"Katiba ijayo lazima sasa iondoe kinga kwa marais ili mtu yeyote aweze kumshtaki Rais na hatua za kisheria ziweze kuchukuliwa," Mateo Qaresi (July 2013).
 
Mugabe bado sana. Mugabe katawala miaka 33, hajamfikia hata Ghadaffi aliyetawala miaka 42. Jamaa ndo kiongozi pekee Africa aliyesalia anayejisimamia dhidi ya mabeberu, ndo maana marekani na ulaya hawampendi na wanampakizia uongo kama huu ili waafrika tumchukie
 
Back
Top Bottom