Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,075
- 136,490
KabisaHuu ndo Wakati wa Watanganyika kusimama kuipigania nchi yetu.
Narudia hakuna Muungano tena hapa ,iwe mwisho imetosha
This is it!Narudia hakuna Muungano tena hapa ,iwe mwisho imetosha
Hao wapuuzi hawajali tena chochote zaidi ya kubaki madarakani kwa gharama yoyote kwenye nchi.Sasa kashinda vipi wakati uchaguzi haujanyika kabisaa??
This is some joke business.
Eti kashinda kwa asilimia 97!
Wameamua kuzitusi waziwazi kabisa akili za Watanzania.
Wanatuambia kwamba sisi ni mazuzu na hatuna akili na kwamba wanaweza kufanya chochote watakacho.
No way, no how!
97%β¦..are you kidding me?
Tusikubali kabisa kufanywa mazuzu kiasi hiki.
Hao wapuuzi hawajali tena chochote zaidi ya kubaki madarakani kwa gharama yoyote kwenye nchi.
Hawa jamaa sasa watawaumiza sana Watanzania.
Yani hawa ma-vampire, wanatudharau ile mbaya, it pain a lot kwakweli. Tusikubali kabisa huu uhuni, lazima tupambane kwa vyovyote kadiri inavyowezekanaThis is some joke business.
Eti kashinda kwa asilimia 97!
Wameamua kuzitusi waziwazi kabisa akili za Watanzania.
Wanatuambia kwamba sisi ni mazuzu na hatuna akili na kwamba wanaweza kufanya chochote watakacho.
No way, no how!
97%β¦..are you kidding me?
Tusikubali kabisa kufanywa mazuzu kiasi hiki.
Only if we allow them to!Hawa jamaa sasa watawaumiza sana Watanzania.
Only if we allow them to!
Eti watu zaidi ya milioni 30 wamempigia kura ππ.
Weee Nyani wana akili bana π.Hapa wametuona kama NYANI. Mungu amazed pema Peponi Mtoto aliyeimba huu wimbo wa Wanatuona Kama Nyani.
Hivi ndivyo ambayo nchi huteketea na kuharibika kabisaKabisaa yaani pamoja na hali ilovyotokea ila hawataki kuachia madaraka kabisaa....Itakuwa wametengeneza hela vibaya sana hapa wanawaza wakitoka madarakani basi watanyanganywa kila kitu.....
Hao watu wametokea wapi?Only if we allow them to!
Eti watu zaidi ya milioni 30 wamempigia kura ππ.
Huo Mchezo wa kutuona sisi hamnazo ulianzia pale walipo tutangazia idadi ya waliojiandikisha kwenye daftari.. hii 97% ni muendelezo wa hayo magumashi yao...This is some joke business.