Connies fast food as a whole business that includes the clientele, furnitures and everything in the restaurant is currently for sale.
It is opposite massana hospital along side goba road. Less than 3 min to the main road bagamoyo road. Good area for business.
Cost is 18 million.
Contact: 0782 040 423
Du!, huwezi amini naishi mitaa hiyo, na hiyo ndio njia yangu kila siku, hilo jengo naliona ila leo ndio nimejua kumbe kuna restaurant!. Unapouza bussiness nzuri kama hii, tena iko kwenye strategic place kama hapo, pia give reasons to sell, otherwise unachotuambia ni kuwa uli invest hiyo 20M plus kuanzisha hiyo bussiness hapo, ime happen hailipi!, hivyo unachotaka kufanya is to salvage kilicho chako na kumuuzia msala mtu mwingine?!.
Kwa maoni yangu, hapo ni mahali pazuri kwa biashara hiyo na mbezi yote kuanzia Tangibovu hadi Africana, hakuna fastfood yoyote ya maana, cout out ile ya Shamo, kama mimi ninayeishi hapa ndio nimejua leo, what about wasiopita hapo?!.
Watembelea wagonjwa sio good spenders kwenye fast food!, biashara ni matangazo, weka matangazo watu wa mbezi wa class hiyo wote wataishia hapo!, mfano hata ukiuza tuu burger kama zile za ile petrol station ya pale Morroco, utawin sana!.
By the look I wish I could buy that, but very unfortunately silo business line yangu!.
Nimeipenda lakini!.
Pasco