Mh hii ndio mikataba ya kimangungo nilikuwa silijui hili yani Ujerumani huyu huyu anakubali kuwa poyoyo mh.Hizi mada nyingine sidhani kama ni sahihi sana kuzijadili maana michango mingi humu itakuwa ni ya 'Kishabiki' zaidi.
Anyway! Uingereza (UK) ni nchi yenye uwezo wa kuzalisha silaha za Nyuklia tena kwa kiasi kikubwa tu inazo. Kwa upande wa Ujerumani ina uwezo huo wa kuzalisha silaha za Nyuklia lakini hilo halifanyiki kwa sababu za kimikataba n.k. na ipo katika mpango ule ya 'Nuclear Sharing' yaani silaha za Nyuklia zilizopo Ujerumani ni za 'mgao' kutoka Marekani.
Mpaka hapo tayari mshindi anajulikana kuwa ni Uingereza kutokana na hizi silaha za Nyuklia ilizonazo ambazo zinaweza kutumika kwa ridhaa yake mwenyewe Muingereza tofauti na Mjerumani ambaye silaha zake hususani hizi hatari zaidi za Nyuklia ni za kupewa kutoka mataifa mengine (Marekani).
It's true that 'Planning' is one of the major factors contributing to war victory.You can't cross the bridge until you reach it. In war there are several factors that can contribute to victory one of which is good planning.
You can have a battle hardened and well drilled army but with it a poor plan can definitely be a recipe for the defeat.
Another factor that can be disregarded but of paramount importance is the nature of war you're fighting. If you're fighting an unjust war, chances are that you can win the war temporarily but in the end you can turn out to be the loser.
So, frankly speaking, the conventional war between the two is the one in which no one can predict the winner with certainty and until it is fought victory will hang in balance since either side can prevail.
Ujerumani ina Historia ndefu sana na ya hatari nyingi. Haihitaji sana kujiingiza katika migogoro mingine kama hiyo ya Kinyuklia. Same as Japan. Zimejikita zaidi katika masuala ya kiuchumi.Mh hii ndio mikataba ya kimangungo nilikuwa silijui hili yani ujerumani huyu huyu anakubali kuwa poyoyo mh
Uzuri risasi na mabomu ya siku hizi yanachagua. Yanapiga kwenye kambi za jeshi[emoji16][emoji23] au walipo wanajeshi. Raia wanaachwa. Enzi zile za NAZI walikuwa wanalipua kila kilichopo mbele yao. Hadi kukuBaada ya vita vya pili vya dunia, miji ya Wajerumani ilibaki kama hii picha hapa chini, walishushwa hadi sifuri, wameteseka sana na kuamka upya, hawana hamu ya vita tena, hawataki kuskia hicho kitu, leo hii Ujerumani ndio second largest exporter in the world, hivyo anategemea sana majirani zake kiuchumi, hawezi akazingua.
Ili ufanikishe vita, lazima upate uungwaji mikono na raia wako, wajerumani walitenganisha jeshi na siasa, yaani baada ya ya kuona kitu walifanyiwa na NAZI.
Kwa kifupi mataifa yote ambayo yamewahi kulemazwa na full scale war na kuamka, huwa hayana hamu tena ya kurudi huko, ni kama leo uwaambie Watanzania wakusanyike tena dhidi ya Uganda kama ilivyokua kwenye vita dhidi ya Idi Amin, ikikumbukwa mpaka leo hawajanyanyuka kabisa kutokana na hasara waliyopata wakati ule, Pi ukumbuke leo hii Tanzania na Uganda wanategemeana pakubwa kibashara, ndivyo ilivyo kwa Uingereza na Ujerumani, kizazi cha leo kinategemeana sana, ni vigumu kuwapiganisha.
Uzuri risasi na mabomu ya siku hizi yanachagua. Yanapiga kwenye kambi za jeshi[emoji16][emoji23] au walipo wanajeshi. Raia wanaachwa. Enzi zile za NAZI walikuwa wanalipua kila kilichopo mbele yao. Hadi kuku
Hahaaaa hii war declaration naona ni nzuri zaidi. Yani unapiga tu. Ngoja tumshawishi magu Tz tu-call for war declaration against kenya, uganda na rwanda. Yani tutafanya ile MAD.Kuna vita baina ya majeshi, tofautisha na vita baina ya mataifa, kitu kinaitwa declaration of war. Marekani na ubabe wake wa vita kila siku utashangaa kusikia mara yake ya mwisho kufanya declaration of war against a country ilikua 1942, tangu kipindi hicho yeye hutumia "authorization to use military force", ndicho alitumia kwa Iraq.
Kwenye vita baina ya mataifa, huwa hamna kuchagua, ni mwendo wa kupigana mabomu kwa kwenda mbele, unapiga chochote utahisi kitampa nguvu adui yako, piga vituo vya habari, mabwawa ya maji, minara ya mawasiliano, majengo ya bunge, ikulu, madaraja, yaani unalemaza miundo mbinu, piga..piga..pasua
Na pia inategemea uwezo wa adui yako, kwa mfano kama ni unapigana na kataifa hoi, yaani Tanzania dhidi ya Burundi, hapo utachagua wapi pa kupiga, lakini leo hii Marekani apigane na Urusi, pale itakua kitu tunaita Mutually Assured Destruction (MAD), yaani kila mmoja ataachia madude kwenda kwa mwenzake bila kujali kama yatatua New York au Mexico maeneo ya watu, ni mwendo wa kubonyeza yaende tu, na baada ya hapo Mungu atusaidie.
Hahaaaa hii war declaration naona ni nzuri zaidi. Yani unapiga tu. Ngoja tumshawishi magu Tz tu-call for war declaration against kenya, uganda na rwanda. Yani tutafanya ile MAD.
Very correct sir ..You can't cross the bridge until you reach it. In war there are several factors that can contribute to victory one of which is good planning.
You can have a battle hardened and well drilled army but with it a poor plan can definitely be a recipe for the defeat.
Another factor that can be disregarded but of paramount importance is the nature of war you're fighting. If you're fighting an unjust war, chances are that you can win the war temporarily but in the end you can turn out to be the loser.
So, frankly speaking, the conventional war between the two is the one in which no one can predict the winner with certainty and until it is fought victory will hang in balance since either side can prevail.