Pamoja na kuchukua makombe mengi mimi uwa namuona babu kama siyo kocha bora uwa sijui kwa nini,naona kama kuna vitu fulani vinamsaidia, mfano historia ya timu,muda aliokaa hapo Man u,kuogopwa na wachezaji kwa hiyo wanajituma mara mbiri,timu kubebwa,utajiri wa timu n.k. ni maoni tu.