Humorous Junior
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 1,599
- 1,422
DaaaaDuh! Time changes kweli, nakumbuka nikiwa dogo mtaani nilivyokua napenda movie za huyu jamaa ambaye leo ni mzee hoi kabisa.
Duh! Time changes kweli, nakumbuka nikiwa dogo mtaani nilivyokua napenda movie za huyu jamaa ambaye leo ni mzee hoi kabisa.
itakua anamaanisha kuwa kawa mzee ila sio pesa, Pesa anayo ya kutosha tu...Hoi kiaje?
Kafulia au?
Kuna mambo mawili ambayo binadamu hawezi kuyaepuka!itakua anamaanisha kuwa kawa mzee ila sio pesa, Pesa anayo ya kutosha tu...