englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
Hilo daraja lapaswa kuitwa 'Daraja la Upendo aka 'la pont d'amour' (waliohudhuria evening classes alliance francais wachukue kalamu nyekundu!)<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>![]()
Nilishawahi ona documentary ya hii kitu kwa TV, nikawa tu nawaza kwenye eneo hilo kwenye river bed kutakuwa kumefunikwa na funguo!
Miaka 1000 ijayo wataanza kuchimba chuma
itabidi na mimi nikafunge langu hapo,ila funguo sitatupa