Who to blame, minister or permanent secretary

mtuwawatu

Senior Member
Oct 30, 2007
104
2
Who to blame, minister or permanent secretary?
As for as i know, ministers are just political figures,but permanent secretaries are responsible for every activities which are going on in the any ministry, but if ministry does not perform, then permanent secretaries should also be oblige
 
Mtuwawatu, point nzuri lakini tatizo ni kwamba hata hawa permanent secretaries wengi ni "figure heads" hivyo wanakuwa zaidi kama politicians. Unajua Permanent Secretary wa wizara ya Miundombinu lazima awe mtu wa kwenye fani hiyo (Mhandisi of some kind) lakini hebu nambie "PS" wa hii wizara ana profession/qualifications gani tena??

Kurudi kwenye swali lako Mkuu, inategemeana na kosa lenyewe, kama ni "Technical" nadhani lawama ni ya PS kwamba "ameshauri Waziri vibaya" au, "hajamshauri Waziri wake kabisa!!!" Lakini wengi watajitetea kwamba walishauri hawakusikilizwa, crap!! Walifanya nini walipoona Waziri au NW hawasikilizi?? Nadhani kuna hatua za kimaadili lazima zichukuliwe ikiwemo kuandika "formal report" ambayo itapitiwa wakati wa vitu kama "Audit" na once zikionekana then mchawi atajulikana, Waziri, NW au PS!!!

Kaazi kwelikweli....
 
Siku ya mwisho, waziri ndiyo yuko responsible na wizara. NI lazima ajue kila kitu kinachoendelea katika wizara yake. Lazima aombe na apate briefing (daily) kuhusu activities.
Ni kama vile mwenye kampuni lazima afuatilie na ajue kitu gani kinaendelea ndani ya kampuni yake. (CEO, COO na kadhalika nao huwajibika accordingly kwani katika ENRON Kenny Lay alijitetea na utumbo wa kuwa hakufahamu na hakushauriwa but he IS responsible!)
So Waziri ni responsible!
 
Back
Top Bottom