Who suffers guilty consciousness most??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Who suffers guilty consciousness most???

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by NyaniMzee, May 12, 2011.

 1. NyaniMzee

  NyaniMzee JF-Expert Member

  #1
  May 12, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 422
  Trophy Points: 80
  Wana JF na hasa wapenzi wa jukwaa la MMU.Kila binadamu huwa anajisikia vibaya anapomkosea mwenzake. achilia mbali inapokuwa ni kulipa kisasi. Kwa wapenzi wengi iwe ni uhusiano wa ndoa au gf na bf au uchumba hutokea mara nyingine , kwa makusudi au bahati mbaya, mmoja kati yao akavunja uaminifu kwa mwenzake. mfano mume katoka nje au mke ana jamaa mwingine zaidi ya mumewe ambaye kitambo kifupi walikuwa wote katika mamboz. lakini mwishowe hawa wawili hukutana on pretext kuwa uhusiano wao hauna doa. Lakini ndani ya moyo wa msaliti wa mwenzie lazima kuna guilty consciousness. Kinachotokea hapo ni kujitahidi kupigana na hiyo hali ili isijulikane kwa msalitiwa. Nadhani wanaume ni wazuri katika kuficha hali hiyo kuliko wanawake. lakini kuna mtazamo mwingine kuwa wanawake ni smart kujikausha na usipokuwa mwangalifu unaweza kuishia kumwambia " you look incredibly loving today my sweet heart"tuzujane wakuu.
   
Loading...