Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 16,207
- 21,235
- Thread starter
- #21
Huwe
Naomba ujue kwamba hukumu za Mungu ni kweli na amina, no matter how you see it,He has your best interest at heart.
Huwezi kumuamulia Mungu la kufanya,he is the porter and you are the vessel.Hivi chonbo kinachofinyangwa kimuambie mfinyanzi kwa nini unanifinga hivi?Ajabu sana.Mungu na shetani lao moja,yani Mungu akiona wanadamu hawamfuati ana mruhusu shetani awaadhibu ili waumie wamkumbuke na kumfuata mungu,wafia dini ni wapumbafu sana,kweli nazidi kuamini dini ni ugonjwa mbaya wa akili.
Naomba ujue kwamba hukumu za Mungu ni kweli na amina, no matter how you see it,He has your best interest at heart.