WHO pandemic treaty is about global dominion by the few and total control of the masses

Huwe
Mungu na shetani lao moja,yani Mungu akiona wanadamu hawamfuati ana mruhusu shetani awaadhibu ili waumie wamkumbuke na kumfuata mungu,wafia dini ni wapumbafu sana,kweli nazidi kuamini dini ni ugonjwa mbaya wa akili.
Huwezi kumuamulia Mungu la kufanya,he is the porter and you are the vessel.Hivi chonbo kinachofinyangwa kimuambie mfinyanzi kwa nini unanifinga hivi?Ajabu sana.

Naomba ujue kwamba hukumu za Mungu ni kweli na amina, no matter how you see it,He has your best interest at heart.
 
Ni kweli Jiwe Angavu partly,ila naomba niseme kwamba sio Mungu wangu anayefanya hayo,amemruhusu Shetani awaadabishe wanadamu kwa kuwa wamemuasi.God is using Satan as a tool.

Jiwe Angavu it seems my God is not your God,maana umesema,"Mungu wako."Naomba awe wako pia,it is at your best interest.Dunia ina mwisho and at time "t," you will face "my God," utasemaje,pride of life will not help you.Believe Jesus as your Personal Saviour,pride of life will not help you.
Kwa hiyo Mungu ana-collaborate na shetani? What kind of shit is that?
 
Huwe
Huwezi kumuamulia Mungu la kufanya,he is the porter and you are the vessel.Hivi chonbo kinachofinyangwa kimuambie mfinyanzi kwa nini unanifinga hivi?Ajabu sana.

Naomba ujue kwamba hukumu z Mungu ni kweli na amina no matter how you see it,He has your best interest at heart.

Bora zaidi kumuelimisha mjinga kuliko mfia dini,mana kila ukijaribu kumtoa kwenye upuuzi anaona wewe unataka kumuangamiza,baki na ma ujinga na upuuzi wako wa dini,brainwashed creature.
 
Kwa hiyo Mungu ana-collaborate na shetani? What kind of shit is that?
Humjui Mungu wewe,you know only Satan.Laiti ungejua maandiko ningekupa,lakini kwa kuwa wewe the Word of God is nonsense,sitapoteza muda wangu.Kaa na Shetani wako.
 
Shetani wangu kivipi wakati we mwenyewe umesema kwamba shetani ameruhusiwa na Mungu kuwaadhibu wasiomtii? Sasa shetani ni wangu au wa kwako? By the way, unapost hizo stori zako bila reference za hayo maandiko, naona kama unatoa kichwani tu.
 
Bora zaidi kumuelimisha mjinga kuliko mfia dini,mana kila ukijaribu kumtoa kwenye upuuzi anaona wewe unataka kumuangamiza,baki na ma ujinga na upuuzi wako wa dini,brainwashed creature.
Usinidhalilishe,mimi sio mfia Dini,wala sio mtu wa Dini.mimi nimemuamini Kristo Yesu na ni Mwana wa Mungu.Mambo ya madhehebu na Dini hayanihusu.
 
Shetani wangu kivipi wakati we mwenyewe umesema kwamba shetani ameruhusiwa na Mungu kuwaadhibu wasiomtii? Sasa shetani ni wangu au wa kwako? By the way, unapost hizo stori zako bila reference za hayo maandiko, naona kama unatoa kichwani tu.
Huiamini Biblia ndio maana sikupi maandiko,I know to you is rubbish,kwa nini nipoteze muda?

Anyway,soma hii👇
Yakobo 1:13
13 Mtu ajaribiwapo, asiseme, Ninajaribiwa na Mungu; maana Mungu hawezi kujaribiwa na maovu, wala yeye mwenyewe hamjaribu mtu.
Yakobo 1:13

Ayubu 1:1-22
1 Palikuwa na mtu katika nchi ya Usi, jina lake alikuwa akiitwa Ayubu; mtu huyo alikuwa mkamilifu na mwelekevu, ni mmoja aliyemcha Mungu, na kuepukana na uovu.
Ayubu 1:1

2 Kisha walizaliwa kwake wana saba, na binti watatu.
Ayubu 1:2

3 Mali yake nayo yalikuwa ni kondoo elfu saba, na ngamia elfu tatu, na jozi za ng'ombe mia tano, na punda wake mia tano, na watu wa nyumbani wengi sana; basi hivi mtu huyo alikuwa ni mkuu sana kuliko watu wote wa upande wa mashariki.
Ayubu 1:3

4 Nao wanawe huenda na kufanya karamu katika nyumba ya kila mmoja wao kwa siku yake; nao wakatuma na kuwaita maumbu yao watatu ili waje kula na kunywa pamoja nao.
Ayubu 1:4

5 Basi ilikuwa, hapo hizo siku za karamu zao zilipokuwa zimetimia, Ayubu hutuma kwao akawatakasa, kisha akaamka asubuhi na mapema, na kusongeza sadaka za kuteketezwa kama hesabu yao wote ilivyokuwa; kwani Ayubu alisema, Yumkini kwamba hawa wanangu wamefanya dhambi, na kumkufuru Mungu mioyoni mwao. Ndivyo alivyofanya Ayubu sikuzote.
Ayubu 1:5

6 Ilikuwa, siku moja ambayo hao wana wa Mungu walikwenda kujihudhurisha mbele za Bwana, Shetani naye akaenda kati yao.
Ayubu 1:6

7 Bwana akamwuliza Shetani, Umetoka wapi wewe? Ndipo Shetani akamjibu Bwana, na kusema, Natoka katika kuzunguka-zunguka duniani, na katika kutembea huku na huku humo.
Ayubu 1:7

8 Kisha Bwana akamwuliza Shetani, Je! Umemwangalia huyo mtumishi wangu Ayubu? Kwa kuwa hapana mmoja aliye kama yeye duniani, mtu mkamilifu na mwelekevu, mwenye kumcha Mungu na kuepukana na uovu.
Ayubu 1:8

10 Wewe hukumzingira kwa ukigo pande zote, pamoja na nyumba yake, na vitu vyote alivyo navyo? Kazi za mikono yake umezibarikia, nayo mali yake imeongezeka katika nchi.
Ayubu 1:10

11 Lakini nyosha mkono wako sasa, uyaguse hayo yote aliyo nayo, naye atakukufuru mbele za uso wako.
Ayubu 1:11

12 Bwana akamwambia Shetani, Tazama, yote aliyo nayo yamo katika uwezo wako; lakini usinyoshe mkono wako juu yake yeye mwenyewe. Basi Shetani akatoka mbele za uso wa Bwana.
Ayubu 1:12

13 Ilitukia siku moja hao wanawe na binti zake walipokuwa wakila na kunywa divai katika nyumba ya ndugu yao mkubwa,
Ayubu 1:13

14 mjumbe akamfikilia Ayubu na kumwambia, Hao ng'ombe walikuwa wakilima, na punda walikuwa wakilisha karibu nao;
Ayubu 1:14

15 mara Waseba wakawashambulia, wakawachukua wakaenda nao; naam, wamewaua hao watumishi kwa makali ya upanga, mimi peke yangu nimepona, mimi tu, kukuletea habari.
Ayubu 1:15

16 Huyo alipokuwa akali akinena, akatokea na mwingine, na kusema, Moto wa Mungu umeanguka kutoka mbinguni na kuwateketeza kondoo, na wale watumishi, na kuwaangamiza; mimi peke yangu nimepona, mimi tu, kukuletea habari.
Ayubu 1:16

17 Huyo alipokuwa akali akinena, akatokea na mwingine, na kusema, Wakaldayo walifanya vikosi vitatu, wakawaangukia ngamia, wakaenda nao, naam, wamewaua wale watumishi kwa makali ya upanga; mimi peke yangu nimepona, mimi tu, kukuletea habari.
Ayubu 1:17

18 Huyo alipokuwa akali akinena, akatokea na mwingine, na kusema, Wanao na binti zako walikuwa wakila na kunywa divai katika nyumba ya ndugu yao mkubwa;
Ayubu 1:18

19 mara, tazama, upepo wenye nguvu ukatoka pande za jangwani, ukaipiga hiyo nyumba pembe zake nne, nayo ikawaangukia hao vijana, nao wamekufa; na mimi peke yangu nimepona, mimi tu, kukuletea habari.
Ayubu 1:19

20 Ndipo Ayubu akainuka, akalirarua joho lake, kisha akanyoa kichwa chake, na kuanguka chini, na kusujudia;
Ayubu 1:20

21 akasema, Mimi nilitoka tumboni mwa mama yangu nili uchi, nami nitarudi tena huko uchi vilevile; Bwana alitoa, na Bwana ametwaa; jina la Bwana na libarikiwe.
Ayubu 1:21

22 Katika mambo hayo yote Ayubu hakufanya dhambi, wala hakumwazia Mungu kwa upumbavu.
Ayubu 1:22
 
Huiamini Biblia ndio maana sikupi maandiko,I know to you is rubbish,kwa nini nipoteze muda?
Huna lolote. Ungekuwa unajua maandiko ungeweka rejea za biblia. Sijawahi kuona post hata moja uliyotoa reference kwenye bible. Post zako zote ni za kuagua tu.
 
Hizi hapa👇soma.

Hizi hapasoma.

Wapi wamemtaja Bill Gates na Fauci?
 
Wapi wamemtaja Bill Gates na Fauci?
Umetaka maandiko kwamba Mungu anamtumia Shetani nimekupa,sasa unaongeza upuuzi mwingine,ndio maana tangu mwanzo sikutaka kukupa maandiko.This is distraction.

Anyway,refences kwamba akina Bill Gates,akina Fauci na international agencies nilizozitaja zinahusika kwenye mauaji ya binadamu ziko nyingi mitandaoni tafuta.Naona nia yako si Kujifunza,ni kuleta ubishi,and I am not ready for that,goodbye.
 
Umetaka maandiko kwamba Mungu anamtumia Shetani nimekupa,sasa unaongeza upuuzi mwingine,ndio maana tangu mwanzo sikutaka kukupa maandiko.This is distraction.

Anyway,refences kwamba akina Bill Gates,akina Fauci na international agencies nilizozitaja zinahusika kwenye mauaji ya binadamu ziko nyingi mitandaoni tafuta.Nia yako so Kujifunza,Ni kuleta ubishi,I am not ready for that.
Kwa hiyo ishu ya kina Bill Gates kuua watu (which is total bullshit btw) haihusiani na shetani kutumiwa na Mungu? Mbona sasa umechanganya hizo habari? Do you see why people think you're a cuckoo?
 
Mkuu sio it looks like,there is a cabal behind it all,ipo,na the WHO organization ndiyo rubber stamp, it is such an evil organization.Waliowekwa kuwa front man ni Bill Gates na Anthony Fauci.Organizations ni DARPA,CDC,EMA na WEF.Overseer ni the UN.Mkuu we are living in such an evil World,wewe acha tu.

IMG_3256.jpg

Kwa hiyo ishu ya kina Bill Gates kuua watu (which is total bullshit btw) haihusiani na shetani kutumiwa na Mungu? Mbona sasa umechanganya hizo habari? Do you see why people think you're a cuckoo?
Wewe una ubishi wa kipepo.Shetani kazi zake ni kuua,kuiba na kuharibu,so mahali popote hayo mambo yalipo Shetani yupo na Mungu hayupo,anachofanya ni kuondoa ulinzi wake,and Satan does the rest.

Najua Shetani anawafundisha ku-ridicule.Stupidly unasema watu Wana cuckoo,that is rubbish, people admire me for exposing the dirty works of Satan,and many,except agents of the Devil,including you.
 
There are people that admire you!? I guess we have a bunch of stupid people around.
 
As an agent of the Devil you are taught to ridicule,and if possible kill everybody who exposes the dirty works of your Lord Satan,kwangu mmekwama,and I will continue exposing the Devil.You tried but failed,try again.I have full protection of the Most Hgh.Mtachimba mashimo,mtaingia wenyewe.
 
Back
Top Bottom