Jindal Singh
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 1,857
- 1,542
Hata science yenyewe sijui kama anafahamu kiundani zaidi.What is Science Mkuu?
Hata science yenyewe sijui kama anafahamu kiundani zaidi.What is Science Mkuu?
Vitu vyote vinetokea by chance otherwise uwe na uwezo wa kunitajia huyo aliyemuumba mungu anayetajwa. Biblia ni kitabu kama vitabu vingineNasubiri kuona wazee wa dini ambao wanaamini dini yao for some reason ni special kati ya dini zaidi ya 4000. Na hakuna hata moja inayokuja na proof ya kitu chochote kile wanachokisema. Science pekee ndiyo imekuja na proof toka enzi hizo hadi leo, na ndo kitu pekee kilichotuletea maendeleo leo hii tupo JF tunawasiliana. Maduduwasha mengine mlijazwa tu utotoni mmeshindwa kujitoa kwenye hicho kifungo kwa sababu mlitishwa kuna moto. Hahaha moto my ass.
The answer is ..who do you think? There are many theories which are advocating the origin of the univese more specifically GOD as the creater ..the question is who created him(GOD)
Mkuu kitendo cha kilichoumbwa kutafakari au kuuliza juu ya uhalisia wa Muumba ni kitu ambacho kwenye calculator hutokea kama "Math Error" ambayo kwa lugha ya ki-calculator ina maana ya beyond the capabilities yaani juu ya uwezo wa kifaa husika.Vitu vyote vinetokea by chance otherwise uwe na uwezo wa kunitajia huyo aliyemuumba mungu anayetajwa. Biblia ni kitabu kama vitabu vingine
Umeeleweka kwa waelewa.Mkuu kitendo cha kilichoumbwa kutafakari au kuuliza juu ya uhalisia wa Muumba ni kitu ambacho kwenye calculator hutokea kama "Math Error" ambayo kwa lugha ya ki-calculator ina maana ya beyond the capabilities yaani juu ya uwezo wa kifaa husika.
Huyu Mungu Muumba wetu kwa maneno yake mwenyewe akiongea na mwanadamu (Musa) Alimueleza juu ya asili yake kwa lugha ambayo tafakari ama fikra za binadamu zingeweza kudadafua Alijibu kiufupi tu kuwa " I AM WHO I AM " yaani Mimi Ndiye ambaye Ndiye kumbuka kuwa upeo wetu wa kufikiri una mwisho hivyo sisi kuelewa asili kamili ya Muumba kuwa yeye Ndiye Aliyekuwako Yupo na Atazidi kuwepo ni ngumu sana kuinyaka hasa ukiweka dhana kichwani kuwa sisi ni wadhambi na hivyo mambo ya Utukufu wa Mungu kwetu ni ngumu kuelewa lakini bado Mungu hakutaka sisi tubaki gizani na hivyo Alisema kiurahisi kwa lugha rahisi ili sisi (Kifaa hafifu) tuelewe.
Science inachojaribu kufanya ni kusafiri kwenye bahari (Dunia iliyoumbwa na Mungu) na kujaribu kutafuta maana ya vitu inavyoviona (Uumbaji wa Mungu) huku ikiwa haina compass wala ramani (Neno la Mungu). Tuhuma za sayansi kuukataa uwepo wa Mungu unaupa wakati mgumu sana pale maswali yanapozuka na ndio maana kila mwanasayansi ana jibu lake na mtazamo wake kuhusu ayaonayo.
Wanazuoni wa zamani hawakuwa na sintofahamu za leo lakini kwao Theology au ujuzi wa Neno kwao ndio iliyokuwa mama wa tafakari zote za sayansi yaani ilibidi umjue Mungu kwanza ndipo uanze kujadili na kuuchunguza uumbaji wake.
Mfano mdogo tu mkuu kwenye Biblia Mungu Aliwaambia wana wa Israel kuwa washikapo mzoga yaani mwili wa mwanadamu au mnyama aliyekufa waoshe mikono yao kwenye maji yanayotiririka "Running water" hii wapasuaji wa kwanza (wanasayansi) walikuja kujua baadae na ni baada ya watu wengi kufa kisa daktari mpasuaji ailikuwa akifanya upasuaji na kisha kunawa kwenye maji yaliyoko kwenye beseni yaani still water kwa hiyo alirudi kufanya upasuaji mwingine na bakteria lukuki mkononi na huku kwenye Biblia Mungu aliwaasa wana wa Israel karne nyingi sana kabla.We umedata tu na dini mkuu, sayansi haihitaji muongozo wowote wa dini maana dini ni full uongo, sayansi ikifata muongozo wa dini itafeli. Vitu vingi vilivyoandikwa kwenye vitabu vya dini hasa bible na quran ni vitu impossible, paradoxes kibao, yaani hata mjinga akisoma anajua anadanganywa.
Sasa wewe tuambie ulimwengu ulikotokea hadi hapa ulipo sasa hivi,Iyo sayansi yako inasemaje?.Yaani kutaja mapunguvu ya kiimani hakukufanyi wewe na syansi yako uwe sahihi,Kinachotakiwa ni wewe kuleta hoja fikirishi za kisayansi ili tukuone una hoja,Ukikomalia kejeli tu haitoshi,Otherwise na sisi tutakuona tapeli tu.We umedata tu na dini mkuu, sayansi haihitaji muongozo wowote wa dini maana dini ni full uongo, sayansi ikifata muongozo wa dini itafeli. Vitu vingi vilivyoandikwa kwenye vitabu vya dini hasa bible na quran ni vitu impossible, paradoxes kibao, yaani hata mjinga akisoma anajua anadanganywa.
Tukitumia sayansi pekee kuuliza kuuhusu uumbaji huishia unknown forces au suppernatural powerHabari wana jf natumai ni wazima.Sijawahi kuanzisha katika jukwaa hili(home of great thinker) Leo ndo my first time.Hili huwa najiuliza lakini nakosa majibu.Soma kisa hiki hapa chini
Mwanasayansi wa elimu ya viumbe Athanasius Kircher(1601-1680)alikuwa na tufe leñye sura ya dunia lililofanywa kwa ustadi sana.Siku moja rafiki yake aliyekuwa haamini kuwa kuna Mungu,alipoona tufe hilo na kuvutiwa na uzuri wake,aliuliza Nani aliyeufanya mfano huu wa dunia hivi?Kircher akajibu"Hakuna mtu,umejifanya wenyewe".Rafiki yake akasema"Unanichekesha aliyeufanya mfano huu lazima awe mstadi mkubwa,Jinsi gani Kircher akahoji.Hautaki kukubali ya kuwa mfano huu dhaifu wa tufe la dunia la dunia umejifanya wenyewe,lakini unakaza mafundisho yako ya kuwa dunia kubwa jinsi hii imejifanya yenyewe.
Swali linebaki pale pale.Who made space,unirves and the world?
Daahh umetoka lini MILEMBENasubiri kuona wazee wa dini ambao wanaamini dini yao for some reason ni special kati ya dini zaidi ya 4000. Na hakuna hata moja inayokuja na proof ya kitu chochote kile wanachokisema. Science pekee ndiyo imekuja na proof toka enzi hizo hadi leo, na ndo kitu pekee kilichotuletea maendeleo leo hii tupo JF tunawasiliana. Maduduwasha mengine mlijazwa tu utotoni mmeshindwa kujitoa kwenye hicho kifungo kwa sababu mlitishwa kuna moto. Hahaha moto my ass.
Wapi??Kama ipo kutoa muongozo wa namna ya kuishi basi imefeli vibaya mno maana inapotosha.