Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,197
- 2,025
Habarini wa GT.
Kumekuwa na mgongano wa mawazo kuhusu uwepo na ithibati ya Mungu.Naomba niseme ya kuwa mgongano huu haujaanza leo wala jana bali ni karne kwa karne zimeshapita. Nitaanza kwa kusimulia visa kadhaa kabla ya kujenga hoja.
Mwanafalsafa Plutarch(myunani) aliyekufa mwaka 120b.c na mwandishi wa habari za wayunani na warumi katika kitabu chake kinachoitwa "Parallel lives of illustrious Greek and Romans"aliandika ya kuwa Kuna miji isiyo na kuta, wala vitabu isiyo na mfalme, wala nyumba wala hazina wala mahala pa kuchezea michezo; Lakini hakuna mji usiokuwa na hekalu la Mungu(mungu fulani) hakuna mji huo na hutapata kuuona.
Mwana sayansi wa elimu ya viumbe Athanasius Kirchner(1601-1680) alikuwa na rafiki yake ambaye alikuwa anapinga uwepo wa Mungu. Kuna siku huyu rafiki alimtembelea Kirchner, Alikuta Kirchner ameshika tufe lenye sura ya dunia, kutokana na ustadi uliotumika kulifanya tufe hilo Jamaa akamuliza Kirchner"Nani aliyeufanya mfano wa dunia hivi? Kirchner akajibu Hakuna mtu, umejifanya wenyewe.Jamaa akasema acha kunichekesha aliyeufanya mfano huu lazima awe mstadi mkubwa, Jinsi gani Kirchner akahoji? Hutaki kukubali ya kuwa mfano huu dhaifu wa tufe la dunia umejifanya wenyewe lakini unakazana kuwa dunia hii kubwa (universe) umejifanya wenyewe. Kuna watu wa aina bado wapo.
WHAT'S INVISIBLE THAT CREATES WHAT'S VISIBLE.
Kama kitu hakithibitishiki kwa milango ya fahamu (pua,ulimi, macho, ngozi,masikio) haifanyi kitu hicho kisiwepo.Kuna ya vitu hauwezi kuthibitisha kupitia milango ya fahamu lakini vipo katika mazingira yetu.Ili kuthibitisha uwepo wa mambo/vitu hivyo tuna angalia athari yake (Low of course and effect)Hapa nitaweka baadhi vitu/mambo hayo ili kuelewa vizuri low hii.
These facts are not all of one kind, some are material and some are non material. We shall mention here a few of them. Electricity, Gravitation, Magnetism, Invisible radiation, Intelligence, Love, Hate, Determination. and so on.......
Hivi ni baadhi ya vitu/mambo hatuwezi kuthibitisha kwa milango yetu ya fahamu lakini vipo, Tunamini vipo kwasababu ya athari zake. Kwa hiyo; hoja ya kuwa Mungu hayupo kwa kuwa hatuwezi kumthibitisha kwa milango yetu ya fahamu inakufa/haina uhai kwa scenario hii.
Mungu hujibainisha kwa viumbe wake kupitia alama/sign mbalimbali rejea paragraph za juu hapo(matukio hayo mawili).
Karibuni