Tareek Azeez
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 12,961
- 32,454
Naaam Naam nchi ya uhuru bhana.kijiwe kinaanza kuchachuka watu washaanza kushiba
Naaam Naam nchi ya uhuru bhana.kijiwe kinaanza kuchachuka watu washaanza kushiba
kutuma nauli alaf haji inauma sana aisee, 😡😡😡😡Ushaisikia ile Nyimbo, watasubiri Sana😂😂.
👉Afu nikituma hela nitakuwa nasaliti Sera za mwenyekiti wa chama Cha kumwaga nje na sheria mkononi dronedrake 😂😂
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Naaam Naam nchi ya uhuru bhana.
nimesub uzi kabisa hapa


Ngoja nimtag CWNAKAZIA
ila dia husband asikatize eneo hili leo![]()
Kwani na yeye ni chama hicho🙄🤔🤣mpotezee hana kaba ataharibu kijiwe
Kwani na yeye ni chama hicho![]()



Anhaa, mwiteni awapasue tu🤣🤣😂Hapana sema hajawai kuelewana na hao watu, hapatakalika hapa![]()
😂😂😂🙌🙌na yeye anabaki anazani naniliu eti inakomolewa.... yeye ndo ataumia😂
😂😂Dahutaweza kuhimili mikito mdogo wangu unakunywa chai na hoho😆
Kwaiyo nitasubir sana mm eeh 😀Ushaisikia ile Nyimbo, watasubiri Sana😂😂.
👉Afu nikituma hela nitakuwa nasaliti Sera za mwenyekiti wa chama Cha kumwaga nje na sheria mkononi dronedrake 😂😂
Aaliyyah situmi, Bora nijilete mwenyewe😍😍🤣😂Kwaiyo nitasubir sana mm eeh 😀
Nauli utatuma tu nishasema😂😂
mshamba_hachekwi Ume sahau Kama hoho Ina act Kama Nini??utaweza kuhimili mikito mdogo wangu unakunywa chai na hoho😆
Nielekeze tu mi nijee🤣😂😂Acha uoga 😀
Wafu wazike, wafu wenzao😂🤣Unapenda ugomvi wewe![]()