cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,290
uduguu ujue mwenzio nacheka hapa km chizi




cheka utanue mapafuu uduguu, chuki na makasiriko sio shida zetuuduguu ujue mwenzio nacheka hapa km chizi




cheka utanue mapafuu uduguu, chuki na makasiriko sio shida zetucheka utanue mapafuu uduguu, chuki na makasiriko sio shida zetu



Vicoba vya nini tena wakati wewe ni wife tayari na unasema nyie ni mapambo hivyo kuhudimiwa na lazima. Tulia upate huduma



Uduguu jf ikifika mchana lazima kuchachuke sijui kwanini? Mimi mbavu zinaniuma![]()





uduguu nastaafu sasa, urithi nshakupaa.uduguu nastaafu sasa, urithi nshakupaa.
Nahamia kwingnee sasa.


Uduguu tulia tuburudike kabla hatujaenda kwa mama bhoke![]()





uduguu hebu tulizanaa kwaniii.nikae kwa kutulia, babe wangu kanstuaa.
Kuna Ban zinanukia hapaaa.

Basi balaaa alafu hela zenu mwapeleka wapi maana bora sie wanaume tunajua kuwa hela zetu zinaishia kwenye mbususu za michepsWanawake kwenye pesa haturidhiki! Tuna vicoba, kausha damu, black hadi chupi mkononi![]()
Basi balaaa alafu hela zenu mwapeleka wapi maana bora sie wanaume tunajua kuwa hela zetu zinaishia kwenye mbususu za micheps
Mwambie mimi asinipige nitakonda kwa mawazo, sonona ya kuikosa jf ni mbaya unakufa haraka![]()




wee na hizo heka heka za kufunzwa ukubwani, ndo ataanza na wee hapo. WoiiiiihDaaah ni huzuni sana, twende tukashtaki kwa samia jamaniiiiSitaki kuamini![]()



Bro iam out too😂🤣Acha nijongee maeneo nikapate cappuccino kwa afya hili saga malizana nalo tu.
Wakati mpenda ugomvi Ni wewe😂🤣Mimi ngoja niondoke mida ya mume kukatiza, nisije kupewa talaka bure. Wanaume wenyewe wachache![]()