Who is Your JamiiForums Crush?

Who is Your JamiiForums Crush?

Jaman

Au osmaney ulimaanisha nini uliposema ku crush, sio kuponda kweli? au mwalimu wangu alinifundisha makapi

Lakini yote kwa yote,
Thanks to you Edo kissy kwa kunikumbuka, huwa nakuona kwenye nyuzi zangu, jukwaa la MMU na majukwaa ya simulizi, na unazipenda kwakweli
I mean romantic feelings for someone that go unexpressed.
 
Jaman

Au osmaney ulimaanisha nini uliposema ku crush, sio kuponda kweli? au mwalimu wangu alinifundisha makapi

Lakini yote kwa yote,
Thanks to you Edo kissy kwa kunikumbuka, huwa nakuona kwenye nyuzi zangu, jukwaa la MMU na majukwaa ya simulizi, na unazipenda kwakweli
Asante roselyn2 cjui umejuaje Kama napenda simulizi?
😍😍😍😍😍
 
Back
Top Bottom