Who Is Vladimir Putin

Who Is Vladimir Putin

Russia is powerful because of Putin ..Putin akistaafu u will hear nothing from Russia...USA is strong regime
I neither agree nor disagree...but I would like to know this deeply!!! Anayejua au wewe mwenyewe elezea facts na evidence kabisaa...ili nijue kama ni kweli au lah!!
 
mkuu @Bowie hujelezea vizuri kuhusu iyo Ajari, ilikuwaje??
je putini amebakiza miaka mingap kumaliza muhura wake wa uongozi na uchaguz mwingine anaruhusiwa kugombea??.
je ni Puttin ndo anaipa nguvu russia au Russia ina nguvu tayari kwamba hata akibadilika raisi russia itaendelea kuwa na nguvu?

neo1
Hahahaa...maswali mazuri...majibu Tafadhali.
 
Mashindano ya siraha ndiyo yaliangusha Ushirikiano la Kisovieti zamani.Ukitaka Kufanya Vita,kagua kwanza Uchumi wako.Uchumi wa US ni 18.5T wakati Russia ni 1.2T!!
Bajeti ya Jeshi la US kwa Mwaka ni around$500B!!
Nchi inayotegemea Extractive industries kama Russia itakuwa ni uchizi kukimbilia Vita.Yaani inategemea Mafuta,wenzao walishahama huko wakaenda kwenye viwanda wakahamia kwenye service industries.Mafuta yakishuka bei umekwisha.
Elezea kiundani zaidi basi...kama anategemea extractive industries...vipi zile bidhaa zingine like helicopters, aeroplanes, cars, cellphones, cars, building materials and other finished goods anazitoa wapi??? Au unaweza ukatupa data za import and export za russia kuthibitisha kwamba yeye ananunua bidhaa nyingi hasa ambazo zimekamilika au Ziko tayari kwa matumizi...finished goods...kutoka nje? If yes then type hizo data!
 
How powerful are they?- Please clarify!!

Russia ina aina ya silaha intaitwa Intercontinetal Missle With Nuclear Head, maana yake silaha inayoweza kutumwa kutoka Russia na kuweza kupiga mji ama sehemu yote Marekani na Europe. Hiyo silaha ni tisho tosha kwa nchi za Magharibi (pamoja nawao wanazo hiyo aina ya silaha). Majuzi Rais Putin alitoa maagizo kwa wakazi wa Moscow kufanya mazoezi ya kuingia kwenye mahandaki yaliyochimbwa wakati wa USSR endapo Marekani akiamua kushambulia Urusi na silaha hizo za maangamizi. Hapa tulikuwa tunajadili Balance of Power Kijeshi sio kiuchum. Hata North Korea anaheshimika kwa kuwa na silaha hiyo pia.
 
Ukitaka kujua pita madukani tafuta bidhaa zilizotengenezwa Russia.Tafuta magari ya Russia barabarani.Exractive maana yake Mining (Madini,Mafuta nk) pamoja na viwanda kama vya Chuma,meli,na Vifaa vya kijeshi.Hebu Fikiria,nchi yenye bajeti ya $ 439B kwa Mwaka,linganisha na mwenzake (US)mwenye bajeti ya $500B kwa Wizara ya Ulinzi kwa Mwaka!!!
 
Uzuri wa JF ni kuwa kila mtu ni mjuzi wa kila kitu...Mtu anaweza akatema madini ukasema huyu jamaa anajua sana, kumbe mwenzio anaandika vile akili yake inamtuma...Hana data wala reference....

Njemba nyingine ni zile unakuta mwenzake katoa facts na ushahidi af ye anakuja tu na kubisha simple tu af huyo anasepa zake....
 
mkuu @Bowie hujelezea vizuri kuhusu iyo Ajari, ilikuwaje??
je putini amebakiza miaka mingap kumaliza muhura wake wa uongozi na uchaguz mwingine anaruhusiwa kugombea??.
je ni Puttin ndo anaipa nguvu russia au Russia ina nguvu tayari kwamba hata akibadilika raisi russia itaendelea kuwa na nguvu?

neo1
Uchaguzi wa urais wa Urusi utafanyika 2018 March na Rais Putin ameonyesha nia ya kugombea na mjibu wa katiba mpya ya Urusi anaruhusiwa kugombea kwa mara ya pili, alipokuwa Rais kwa mara ya kwanza alitumikia kwa mjibu wa katiba ya zamani.
Kuhusu ajali kwa mjibu wa taarifa sahihi Rais Putin alikuwa apande gari ambalo lilikuwa likeendeshwa na Dreva aliyekuwa kipenzi chake na alikuwa ametumikia ikulu kwa muda mrefu, lakini unavyojua Rais Putin alishakuwa kachero hakupanda hilo gari, huyo Dreva alitangulia mbele ndipo gari aina ya Benz dogo jeusi liliacha njia kwenda kugonga gari lililokuwa likeendeshwa na dreva wake akiwa pekee yake huyo dreva wake alifariki hapo hapo, dreva wa hilo gari lingine alipoona na kupelekwa hospital akiwa mahututi inasemekana anapewa matibabu ya hali juu ili atoe maelezo kamili. Taarifa kutoka maofisa wa usalama wa Russia wanaamini ilikuwa ni mpango wa Marekani.
Kuhusu nguvu ya Russia baada ya kuangukaa kwa dola la USSR mataifa ya Magharibi wakiongozwa na marekani walitumia udhaifu wa Rais Yelstin (marehemu) kudhoofisha dola la Urusi. Baada ya Putin kuchukua madaraka ndio amesimamia kukua kwa uchumi wa Russia ndipo akaongezaa bajeti ya Ulinzi na kufufua viwanda vya silaha ambazo zilikuwa zimefungwa. Kwahiyo Putin ame play big role kufufua jeshi la Urusi.
 
Mbona unakuwa muongo???
Uchumi wa Nigeria ni $635b.
kwahio unataka kuniambia Russia yuko level moja ya uchumi na nchi kama nigeria???

Sasa G8 russia Imeingiaje???
hadi hivi majuzi ndo wameitenga kwa sababu za kisiasa....

Kadanganye watoto wadogo...
Ha ha haaa, jamaa umekataa kudanganywa vibaya du!
 
Russia ina aina ya silaha intaitwa Intercontinetal Missle With Nuclear Head, maana yake silaha inayoweza kutumwa kutoka Russia na kuweza kupiga mji ama sehemu yote Marekani na Europe. Hiyo silaha ni tisho tosha kwa nchi za Magharibi (pamoja nawao wanazo hiyo aina ya silaha). Majuzi Rais Putin alitoa maagizo kwa wakazi wa Moscow kufanya mazoezi ya kuingia kwenye mahandaki yaliyochimbwa wakati wa USSR endapo Marekani akiamua kushambulia Urusi na silaha hizo za maangamizi. Hapa tulikuwa tunajadili Balance of Power Kijeshi sio kiuchum. Hata North Korea anaheshimika kwa kuwa na silaha hiyo pia.
Nimemuuliza kwa sababu ya majibu yake! By the way...nimekupata.
 
Back
Top Bottom