Who is the richest man in Africa??

kovidii

JF-Expert Member
May 4, 2020
278
250
Wakuu habari za jion,polen na heka heka za ckukuu.kwa wale ambao mpo kwenye viti viref na lile disco letu la rc wa dar,bas tugonge cheers hukohuko kwa mbali tukizingatia social distance!.Kuna msemo wa kiswahil usemao tembea uone,nami leo ktk pita pita zangu mtandaon,nikakutana na huyu mwamba,wakuitwa shatta bandle.jamaa ni mzaliwa wa Ghana,bdo kijana na anajiita young millionaire nigga.picha linaanza jamaa ni mbilikimo(like tausi wa bongo muvi)ukimchek haraka haraka uson unaweza kusema umekutana na harmo rapa,yaan jamaa anasura ngum(zile za matunzo ziro)unaweza kusema ni mchoma mkaa tu kule manyovu,yaan jamaa mixa ana mapengo meno kadhaa ya mbele hamna... ukichek post zake Instagram jamaa anamdiss sana dangote,hd anafikia kusema atamwajir awe get man wake!!!.jamaa ni mpenz wa magar mazur,Kwan anamilik bently, rolls Royce, Mercedes c class,na g class.mbwembwe zake zikanifanya nichimbue data zaid kumfaham japo kwa ufup.kwenda kuchek utajir wake kumlinganisha na dangote,nikakuta jamaa kwamwacha mbali sana aliko dangote,wakat dangote ana net worth ya 8.7b usd, jamaa yeye anacheza kwenye64b usd!!!!!!dili kubwa inayomuingizia mkwanja ni uwekezaji mkubwa kwenye sekta ya mafuta nchini kwake Ghana, Nigeria na falme za kiarabu.jamaa anakwambia akiwa na hasira hapo hapo ili kupoza hasira zake bs hupanda jet yake binafs na kuelekea popote mawazo yatakapomtuma.kumfaham kwake,kumechokoza mada ndan yang,nikiuliza iweje aliko dangote awe no1 Africa,wakat jamaa kamuacha karib mara8!!
Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 

kovidii

JF-Expert Member
May 4, 2020
278
250
Jamaa huyu hapa
FB_IMG_15903434766843380.jpeg
FB_IMG_15903434642945138.jpeg
FB_IMG_15903434124785045.jpeg
FB_IMG_15903433660748675.jpeg
FB_IMG_15903433239222913.jpeg
FB_IMG_15903430988963700.jpeg
FB_IMG_15903432528773579.jpeg
FB_IMG_15903433848189492.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

NAWATAFUNA

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
10,972
2,000
huyu mwamba namuona saana insta na kwa jinsi alivyo mimi nilijua anafanya tu maisha ya maigizo.
kumbe ni mbabe.
acha kuwa namba moja africa hata kwenye matajiri 50 wa dunia sijamuona huyu mwamba wa ghana

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
25,994
2,000
Just Google shatta bandle net worth.me mwenyewe nmeshangaa km unavyoshangaa ww...

Sent using Jamii Forums mobile app
1. Kila mtu anaweza eka info google, tafuta website za uhakika.
2. Jamaa anajisifia yeye ana hela kuliko Dangote, yaani ushahidi ni yeye mwenyewe, ila hakuna ushahidi mwengine wa maana
3. Nani akakupe visima Uarabuni?
4. 64b usd ni kubwa sana, ni mali ambayo huwezi kuificha, mfano GDP ya ghana ni 66B, yaani nchi nzima wamezalisha 66B mwaka mzima then kuna Tajiri ana 64B? Hapana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom