Who is the richest man in Africa??

Who is the richest man in Africa??

Wakuu habari za jion,polen na heka heka za ckukuu.kwa wale ambao mpo kwenye viti viref na lile disco letu la rc wa dar,bas tugonge cheers hukohuko kwa mbali tukizingatia social distance!.Kuna msemo wa kiswahil usemao tembea uone,nami leo ktk pita pita zangu mtandaon,nikakutana na huyu mwamba,wakuitwa shatta bandle.jamaa ni mzaliwa wa Ghana,bdo kijana na anajiita young millionaire nigga.picha linaanza jamaa ni mbilikimo(like tausi wa bongo muvi)ukimchek haraka haraka uson unaweza kusema umekutana na harmo rapa,yaan jamaa anasura ngum(zile za matunzo ziro)unaweza kusema ni mchoma mkaa tu kule manyovu,yaan jamaa mixa ana mapengo meno kadhaa ya mbele hamna... ukichek post zake Instagram jamaa anamdiss sana dangote,hd anafikia kusema atamwajir awe get man wake!!!.jamaa ni mpenz wa magar mazur,Kwan anamilik bently, rolls Royce, Mercedes c class,na g class.mbwembwe zake zikanifanya nichimbue data zaid kumfaham japo kwa ufup.kwenda kuchek utajir wake kumlinganisha na dangote,nikakuta jamaa kwamwacha mbali sana aliko dangote,wakat dangote ana net worth ya 8.7b usd, jamaa yeye anacheza kwenye64b usd!!!!!!dili kubwa inayomuingizia mkwanja ni uwekezaji mkubwa kwenye sekta ya mafuta nchini kwake Ghana, Nigeria na falme za kiarabu.jamaa anakwambia akiwa na hasira hapo hapo ili kupoza hasira zake bs hupanda jet yake binafs na kuelekea popote mawazo yatakapomtuma.kumfaham kwake,kumechokoza mada ndan yang,nikiuliza iweje aliko dangote awe no1 Africa,wakat jamaa kamuacha karib mara8!!
Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Yule EMOLO hamfikia DANGOTE hata kwa DAWA yaani EMOLO yupo Askari Monament Posta DANGOTE Yupo NAMANGA anaitafuta NAIROBE.
 
Shatta bandle Net Worth. According to his claims, Shatta Bandle is worth over $ 9.6 billion. He claimed to be richer than Aliko Dangote, whose net worth is $ 9.6 billion. Please Note: His Net worth Estimation was base on his Claim, not backed up by facts, according to some internet sources, he is a friend to a rich man who has been assisting ... (Ask.com)
 
ATTACH]
jamaa ni muigizaji kama waigizaji wa bongo wakina irene na wenzake hawana hata mia mbovu wanaungaunga tu kwa kudanga mjini
View attachment 1458874

Sent using IPhone X
 

Attachments

  • IMG_1056.JPG
    IMG_1056.JPG
    26.3 KB · Views: 8
Ni kawaida yetu sisi watu wafupi inferiority complexes kwa sana tu na pia mioyo yetu iko karibu na mfuko wa mavi so pale joto ni kali sana kila saa moyo unakua juu juu.
 
Huyo hata ukimleta kwa matajiri wa mikoani, mfano Mwanza, Arusha au Mbeya ndani ya matajiri 100 wa hiyo mikoa hawezi kuwemo.

64b unaijua kweli wewe, hebu kuwa serious hata kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom