Who is the Father of physics?


Mwalimu gfsonwin unafundisha masomo gani?
 
kwenye fizikia ya nyuklia mababa na wamama ni kina rutherford na sordi
 
Kumtaja mmoja si rahisi kwani fizikia ina uwanja mpana sana. Kwangu naona ni Micheal Faraday kwa kuwa alifanya experiments nyingi zaidi kuliko binadamu yeyote yule na Thomas Edison anafuatia. Hawa wawili wamechangia sana kwenye (AC na DC) umeme. Einstein hakufanya experiments lakini nadharia zake nyingi zimeleta changamoto kubwa kwenye uelewa wetu wa nishati na ulimwengu. Enrico Fermi naye aliongoza experiment ya kwanza ya nyuklia. Sergei Korolyov na Wehner von Braun wamechangia sana katika aeronautics.
 
Newton deserves the title. He was starting from scratch, but Eistein had a starting point to hinge his extraordinary discovery of mass-energy relationship- E=MC[SUP]2[/SUP]

mass-energy relationship- E=MC[SUP]2
was derived from newton's third law: momentum law althoght for eistein only he squared the velocity and changing the media with which the energy can be formed (speed of light) while for Newton only liner motion with normal media was observed.[/SUP]
 
No one is better than other amongst scientific founders.If we dedicate Newton,Eistein,Gallileo e.t.c what about Pythrograss?
 
good na enjoy sana aisee, kumbe na wewe ni mwl mwenzangu? basi ntakupa dili unikumbushe limenitoa kimtindo
so keep intouch.

Powa nitakukumbusha ticha mwenzangu, but lini?
 
Powa nitakukumbusha ticha mwenzangu, but lini?
nov mwaka huu ni nzuri sana na laiti ningejua mapema ningekwambia ungekua uko mbali sana aisee.ngoja nitakutumia hints pm
 
No one is better than other amongst scientific founders.If we dedicate Newton,Eistein,Gallileo e.t.c what about Pythrograss?

Sio huyo tu, wako weengi wakali. Henri Becquerel, Ludwig Boltzmann, William Henry Bragg, Enrico Fermi , Werner Heisenberg, James Clerk Maxwell, Robert Millikan, J. J. Thomson, James Watt, D. van der Waals, Archimedes na wengine wengi, plus ancient greek philosophers. ila Sir Isack Newton deserves the title.
 

Mbona kama hakuna Mwafrika hata mmoja?
 

I am the greatest physist of all time, those who know me will readily accept.
 
Mbona kama hakuna Mwafrika hata mmoja?

Hapo ni kweli hamna waafrika ila kwenye ulimwengu wa physics wapo but ndo vile pengine historia zao hazijatiliwa maanani sana, mfano ni great physicist and mathematicians waliojenga pyramids.
 
Hapo ni kweli hamna waafrika ila kwenye ulimwengu wa physics wapo but ndo vile pengine historia zao hazijatiliwa maanani sana, mfano ni great physicist and mathematicians waliojenga pyramids.

Una uhakika kuwa hao waliojenga hayo madubwana walikuwa ni Waafrika weusi? Au unasema tu hivyo ili kujipa faraja ya kwamba Waafrika weusi nao wamo?
 
una uhakika????
Newton deserves the title. He was starting from scratch, but Eistein had a starting point to hinge his extraordinary discovery of mass-energy relationship- E=MC[SUP]2[/SUP]
 
[h=1]Tycho Brahe and Johannes kepler[/h]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…