Who is the Father of physics?

none kila mtu alicontribute kivyake kinachowatenganisha ni time tu.hakuna cha enshitain wala newton
 
There isn't one. This is a useless and quite
pointless exercise. Physics is the result of
the efforts of many brilliant minds over the
centuries. Designating one of them as
somehow superior to the others is
nonsense

Watu wanapenda sana simplification kupita kiasi. Mpaka wanataka kumita Marie Curie "father" sasa.
 

whici noble prize did Newton receive in his entire physics carrier!? Though he was and still he a father of it, or noble prize wasn't there during his inventory time, i guess so.....
 

up to this point there is no father of physics but there is father of parts of physics...like Einstein and quantum physics..
 
Kwanza unaongelea Physics gani? Kwa sababu kuna theoretical physics huko ukijiuliza tu kwa nini vitu vinaanguka chini na si juu ushaanzisha gumzo kuhusu Physics.

Na kuna wa Giriki wa kale kuzidi Aristotle na Socrates, Wayunani, Wakaldayo, Wamisri wakale kibao walishayafanyia kazi haya maswali.

Hata kwenye experimental physics watu walishajenga mi piramidi maelfu ya miaka huko nyuma.

So ukiongelea kina Einstein na Galileo unaonyesha upungufu wa kujua historia ya physics.
 
Actually Max Planck, Erwin Shrodinger or Niels Bohr have a better claim to that title.

Tatizo watu wanaangalia fame kuliko history.

kweli kabisa hilo somo ni soo ukiliangalia kijuujuu tu..
 
Mkuu Kiranga uko sahihi.. akati naleta topic sijamlimit mtu pa kuchangia, hao niliowataja ni kuwakilisha tu. I know history ya physics ni pana sana coz kuna watu walianza kudeal na haya mambo miaka mingi sana BC.
 
Last edited by a moderator:
mkono una vidole vitano.

Kidole kimoja hakivunji chawa! japo Bohr naweza mpa 50%
 
Technically nitampa yule anayetengeneza radi kwa kunuiza.....imeshakuwa documented jamani? Hiyo ni fizikia

Kidarasani nampa Newton

Lakini nadhani ni wengi sana so to each his\her oWn
 
mtaenda huku mtaludi kule, lakini Newton ndo baba lao huyo E=MC² me simkubali ka Newton bhana.
 

mweh hao wote ulowataja mbona ni kama wazungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…