Electrical Engineer
Member
- Oct 6, 2012
- 50
- 18
Wakuu habari
Hebu tujadilini, ni nani haswa anastahili kua father of physics kwa kuzingatia contributions zao kwenye physics kwa ujumla. Binafsi naamini Newton deserves the title. Kuna wanafizikia wengine kibao kama Albert einstein, Marie Curie, Niels Bohr, Galileo Gallilei na wengine. Je wewe unasemaje?
There isn't one. This is a useless and quite
pointless exercise. Physics is the result of
the efforts of many brilliant minds over the
centuries. Designating one of them as
somehow superior to the others is
nonsense
Mkuu mbona mara ya kwnza ulipost kua ni Sir Isaack newton thn now umebadilisha na kuandika icho ulichoandika ambacho umecopy kwenye website mojawapo. Jiamini mkuu
yes einstern ni smart sana but newton katoa mchango mkubwa na basic ya physics so newton anadesrve kuwa father i stand to be corrected
mmmh! father kwa maana ya baba ama father kicheo kwamba he did a lot? to me bado nabaki kusema kwamba kile chenye mchango mkubwa kwenye maisha ambacho leo hii ndicho msingi wa maisha basi muasisi wake ndo angefaa kuwa baba kitu hicho ni atom so sequence hii inaonyesha seniority Planck, Einstein, Bohr, and later de Broglie, Heisenberg, Schro¨ dinger, Dirac, Pauli,and Born. Anyways niko tayari kurekebishwa. i love physics aisee.............
hakuna father bila mother.
Newton je?
am atomic physics dweller so to me yaani PlankPhysics ilipofika leo ni michango ya wengi ila "father" ni yule aliyetoa mchango mkubwa zaidi, ambaye for me ni Newton
am atomic physics dweller so to me yaani Plank
Remember physics is not only about atoms.