Who is she? Msaada wenu please

Huyo ni Theresia Shayo, The First Miss Tanzania, Hivi bado yuko hai kweli?
 
hivi si atakuwa bibi kabisa? ni mwaka gani huo? hivi kumbe tumeanza mbali kuvaa vimini sasa watu wanapiga kelele uvaaji kumbe mama zetu/bibi zetu ndio walikoanzia, ila nimempenda kulikuwa hakuna cha mkorogo wa ngozi natural skin na nywele pia
 
She is sooooo beautiful ...
Hajibandikia ma makeup kama ma miss wa sasa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…